Series (Special thread)

Series (Special thread)

Homeland imekaa kiwaki, niliipenda season 1 peke yake

Mtu yeyote akini recommend series kwa reference ya homeland anakuwa amenikatisha tamaa.
Kaka unatakiwa upigwe viboko aisee homeland series kalii sana alafu inakushinda kwa nini aisee au upendi mizigo ya kikachero aka spy
 
Huo ukachero unaanzia season ya ngapi maana nilijilazimisha kuangalia season 1 maona kuna jamaa yupo na stress/trauma za matokeo ya vita amejifungia ndani tu karibia season mzima
 
Limetoka leo
20230728_095551.jpg
 
Huo ukachero unaanzia season ya ngapi maana nilijilazimisha kuangalia season 1 maona kuna jamaa yupo na stress/trauma za matokeo ya vita amejifungia ndani tu karibia season mzima
😁😁😁😁😁Itazame yote kalii sana ndo inavyo anza ivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom