Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,574
Nimeshindwa kuangalia zero zero zero mkuu kwasababu nimetafuta subtitles zake Google nzima nimekosaMf mie series za vionjo vya SILO yaani huwa nikiianza tu naona ni ya hovyo na kuitupilia mbali, ila ukiniwekea Series aina ya Zero Zero Zero au The Barbarians asee nakesha kabisaaa!
So nabaki kuamini kila mtu na mlo wake pendwa!
Na Mimi bila subtitles siwezi kuangaloa TV shows