Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Tabithabaada ya hapo kuna zaid ya mwaka wa kusubil next season


Sijui itakuaje na mwakani mbali kweli
Tabithabaada ya hapo kuna zaid ya mwaka wa kusubil next season


Hii niliangalia episode mbili tu ikanishindaYellowjacket nzuri huko mpk watu wanakulana
Ha ha ha ha ha hii balaa. Na kuna ile American horror stories ilibidi niwe mpole tuHuu ndo mtiririko kamili kama unataka kuangalia THE WALKING DEAD
The Walking Dead season 1
The Walking Dead season 2
The Walking Dead season 3
The Walking Dead season 4
The Walking Dead season 5
Fear the Walking Dead season 1
The Walking Dead season 6
Fear the Walking Dead season 2
The Walking Dead season 7
Fear the Walking Dead season 3
The Walking Dead season 8
Fear the Walking Dead season 4
The Walking Dead season 9
Fear The Walking Dead season 5
The Walking Dead season 10
The Walking Dead: World Beyond season 1
Fear the Walking Dead season 6
The Walking Dead season 11
The Walking Dead: World Beyond season 2
Fear The Walking Dead season 7
Tales of The Walking Dead
Fear The Walking Dead season 8
Series ya FROM wametulia aisee. Hope wasije haribu season zinazofuataTabitha
Sijui itakuaje na mwakani mbali kweli
Kwa watu tunaopenda kujua vitu kwa undani, season 2 imeisha vizuri, imeacha maswali mengi kuliko majibuFROM last episode is out....![]()
From itakua km lost tutaenda nayo mpk season 6 hukoKwa watu tunaopenda kujua vitu kwa undani, season 2 imeisha vizuri, imeacha maswali mengi kuliko majibu
Imeisha vizuri mnooo nimependa kwa kweli, ingetujibu maswali yetu season hii, huenda season inayofata isingekua na mvutoKwa watu tunaopenda kujua vitu kwa undani, season 2 imeisha vizuri, imeacha maswali mengi kuliko majibu
Hawawezi kuharibu, labda waje watuambie wote walikua wanaotaSeries ya FROM wametulia aisee. Hope wasije haribu season zinazofuata





Ha ha ha ila Tabitha nahisi anaotaHawawezi kuharibu, labda waje watuambie wote walikua wanaota![]()
Hivi monsters kwa Kiswahili ni nini?
Wataalam hawa. Balaa lao sio la kitoto
Zimwi/ dubwanaHivi monsters kwa Kiswahili ni nini?
Hiyo hamna kitu mwenyewe nimeachana nayo, series kali unaiona episode ya kwanza tuHii niliangalia episode mbili tu ikanishinda
Hapana, CITADEL Ina episodes 6, ni kali kinoma... Season 2 Mwakani inatokaCitadel ina kitu, inatazamika ina e3 unaweza itafuta

Kuna mdau aliitaja outer banks maua yake haya hapa![]()
Ha ha ha ila Tabitha nahisi anaota
Namaanisha inawezekana hata hapo alipo ni mauza uza mengine. Unaweza kukuta huo ni Mji kama ule part 2.Sio kuota…hapo anawaza mambo mengi kwanza familia yake namna ya kuwatoa dhen jinsi ya kurudi kule kuwasaidia namna ya kutoka!!