Series (Special thread)

Series (Special thread)

WEAK HERO CLASS
Aisee, hii series ni tamu sana
pq2lr_4f.jpg
 
Utamu wake upo kwenye nini? Maana naona vijana legelege tu hapo
Mambo ya high school
Bullying, fighting, school gangs, drugs, alcoholism, beef, etc
Action pia zipo za kutosha
 
Dah series za korea miyeyusho sana, sijawahi vutiwa kabsa nazo.. we angalia tu Mkuu.
Hata Squid Game haujaiona mkuu
All of us are Dead nayo haujaiona eti kisa ni ya Korea? Mbona unakosa mengi mkuu
 
Hata Squid Game haujaiona mkuu
All of us are Dead nayo haujaiona eti kisa ni ya Korea? Mbona unakosa mengi mkuu
Duh, tunatofautiana sana, hizi kitu za Mazombie hapana asee...

Za Kikolea zile za pori pori like Slave hunter ziko poa sana. Nyingine ni military series like Iris...
 
Duh, tunatofautiana sana, hizi kitu za Mazombie hapana asee...

Za Kikolea zile za pori pori like Slave hunter ziko poa sana. Nyingine ni military series like Iris...
Train to Busan 2016 ni movie ya mazombie but iko poa kuliko Hollywood movies nyingi za miaka hii. Kwa miaka ya sasa ni ngumu kukuta movie kali kama Train to Busan
Labda uwe unajilimit mwenyewe kwa kujiwekea sheria ya kutoangalia hivi vitu but siku ukija kutulia na kuangalia lazima utazipenda tu

Na Squid Game nayo vipi, maana sio ya mazombie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom