allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,167
- 786
Haha vp lakin kwenda kwake hollywood n hatua mbele au karudi nyuma???Daaaaah aisee.
Series akishakuwepo tu huyo Manzi Priyanka huwa naipotezea.
Huwa simkubali kabisa
Haha vp lakin kwenda kwake hollywood n hatua mbele au karudi nyuma???Daaaaah aisee.
Series akishakuwepo tu huyo Manzi Priyanka huwa naipotezea.
Huwa simkubali kabisa
Ni hatua mbele Kiongozi.Haha vp lakin kwenda kwake hollywood n hatua mbele au karudi nyuma???
Cobra Kai ipo poa sanaHizi ndiyo series kali za watu wazima yaani unakaa unaangalia series imetulia. Sasahivi tushakuwa watu “age go” alafu mtu anakuletea sijui bel-air sijui cobra kai sijui sex educationyaani utoto mwingii
Narcos Ni nzuri..season 1 na 2Basi ngoja nishushe narcos kwanza, niipotezee el chappo
Ina Eps 06 tu lakini ni noumaaa! Nenda ufanye ku-watch, hutojutia...Wakuu kuna series inaitwa black bird mwenye kuiangalia aniambie inavutia au nimeona rate zake imdb ni nzur ina 8.
Ni Series kali kinoumaaa, kama bado huja watch fanya uitafuteMnaikumbuka series ya WARRIOR NETFLIX waliamua kuicancel baada ya season ya 2 sasa naona HBO wamenunua rights na sasa season 3 inatoka mwaka huu
Iko vizurSana kka
Ep ni 6Citadel ina kitu, inatazamika ina e3 unaweza itafuta
Ipi hiyo?The great heist imekaa kizaman kama breaking bad ila ni tamu aisee ndo naicheki leo![]()
Hiyo niliyo itaja. Japo episode ya 4 inaweza isikufurahishe kama ilivyo nikera mimiIpi hiyo?
Episode 4 ina niniHiyo niliyo itaja. Japo episode ya 4 inaweza isikufurahishe kama ilivyo nikera mimi
Maswala anayopambana nayo museveni japo sio kwa sanaEpisode 4 ina nini