ivan1212
JF-Expert Member
- Mar 4, 2019
- 937
- 2,459
Naomba link bossSema huu mzigo uko njema aisee yaani ukitaka kujua maana ya suspicion kwa vitendo angalia hii series![]()
Naomba link bossSema huu mzigo uko njema aisee yaani ukitaka kujua maana ya suspicion kwa vitendo angalia hii series![]()
Kuna utoto mwingi sana humoMbona tumakatana stim? Ndo nimemaliza kuishusha hapa
ila icheki tu kama bongo movie Mi mwenyewe sijaielewaHii series imeni-disappoint sana.
Cris Evans binafsi naona kajishusha tu kiwango.
Haipo hewani toka jana, hata mi nimekoswa mbadala, nilijaribu O2tv ubora wake hauridhishiNetnaija haipo hewani..!!! Je kuna mbadala wake
Na bado Jack anacheka cheka mpka kwenye issue serious, season 1 tu ndo kali, walianza kuboronga toka season 2..hii season 3 ndo wameharibu kabisa.Hata Jack Ryan nayo ni kama walikosa story....
Kwamba Convoy inatembea na Nuke, haifatiliwi na polisi wala nini
Kwamba Nuke imelipuka kwenye daraja ila madhara hayajatokea kwa watu wa maeneo husika
Kwamba Rais wa Czech anaenda Moscow bila hata msaidizi
Kwamba Tunnels za Moscow zipo bila ulinzi hadi watokea Ikulu
Kwamba CIA wanabeba silaha ndani ya Czech
Kwamba Rais anatekwa na hakuna anayejihangaisha mtafuta, hadi anajinasua mwenyewe
Kwamba Jack anaweza enda mchi yoyote ile na kufanya analotaka na hakamatwi
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mim ndo mana nayakubal mapanga mapanga.unaona mfano ragnar kwenye vikings.aaanza anastugle kama mkulima na mvuv mpaka anakua chief anapiga mkono balaa.sio hao wanafanya usanii.Na bado Jack anacheka cheka mpka kwenye issue serious, season 1 tu ndo kali, walianza kuboronga toka season 2..hii season 3 ndo wameharibu kabisa.
Yule mama na urais wake mwenyewe nilikuwa najiuliza inakuwaje, bongo movie tupu.
Mtu akisoma hii komenti anaweza akapotezea kuicheck lkn ni series nzuri tuu.Tatizo imezidi uongo sana.
Eti kwamba ukimbie MI6 kizembe vile na simu unayo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hiyo nimeishia episode ya kwanza nikaona tu hapa hamna kituNyingine ya hovyo ni the recruit
Embu nitajie series za kijasusi ambazo ww unaona ni kali sana.Hiyo nimeishia episode ya kwanza nikaona tu hapa hamna kitu
Haipo hewani toka jana, hata mi nimekoswa mbadala, nilijaribu O2tv ubora wake hauridhishi
Dah mimi nimeikatia tamaa kabisa.Mi mwenyewe sijaielewa
Ila ngoja tuone episode za mbele labda mambo yatabadilika
Naomba link boss
Sikiliza watu wa humu sio kwamba wanajua series hapana ni vile ameona hakuna vitu anavyovitaka viwemo kwenye iyo series. So wewe usibishane nao maana ukimuuliza yeye tutajie series yako Bora ambayo haina makosa utacheka maana hakuna series yoyote duniani ambayo haina makosa ila anataka akiichukia yeye na wewe uichukie kwa namna yoyoteMtu akisoma hii komenti anaweza akapotezea kuicheck lkn ni series nzuri tuu.
Nyingine ya hovyo ni the recruit

Ukali mwingii ila Pilau kama lote yani