Series (Special thread)

Nilikua namuona alikua ndezi kitambo tu.."et i have seen enough"..alizingua.

#MaendeleoHayanaChama
Ila kwa upande mwengine nilimuelewa kama anaishi kwenye Dunia ambayo anakua hunted bora basi ajibadili ilikuendana na hao wanavyotaka ukizingatia ni future King.
 
Mimi nilianza kuangalia Ep 1 mwezi march ila nikaipotezea. Now nimeianza upya niko ep 6 ni nzuri huku mbele Hasa kama unapenda masuala ya Time Traveling.
Well, it's superhero series
Iko poa sana kuna ndugu yangu yeye kaimaliza yote ndio alinishawishi kuiangalia ila ndio vile tena
 
Wakuu kuna series za fbi,fbi most wanted na fbi international,naona zimetoka season zingine hivi karibuni,ila kila nikijaribu kuzitafuta kwenye pirates bay na 1337× sizioni,anaejua njia nyingine ya kudownload zaidi ya torrent naomba anielekeze

Toeni ushirikiano hapo wakuu
 
Naomba link tafadhali
 
Sites za torrents zimevujisha mzigo wa Gangs of London season 2 dadekiiii maana mzigo rasmi unatoka November 🤣🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20221020-113759.png
    25.4 KB · Views: 38

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…