jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 21,691
- 41,849
Iko njema pia kwa wapenzi wa drama series if you have time icheki.
Jana niliimaliza kuicheck hii series Aisee iko poa na story yake ni nzuri sana kwenye issues za kucontrol memories...Apple+ nawapa credit kwa kazi nyingine
hata mimi mtu akitaka nimdownlodie aseme tena hata ukitaka 1080 nakushushia buree kabisaDuuh! Hizi bando zimeumiza watu wengi hata humu kumepooza tangu bando zipande na kwa season 1 au movie mnanunuaje? maana kuna mwana yupo Telegram ukitaka movie au series unamcheck then anakupangia siku uje na hela pamoja na USB flash, external, simu au laptop unachukua mzigo wako na wewe unampa hela.
Mnaotaka movies mfuateni huyu jamaa inbox maana kajitolea kwa ajili yenu....safi sana mkuu 👏👏hata mimi mtu akitaka nimdownlodie aseme tena hata ukitaka 1080 nakushushia buree kabisa
hata mimi mtu akitaka nimdownlodie aseme tena hata ukitaka 1080 nakushushia buree kabisa
Formula 1: Drive to Survive. Season 1-4.hata mimi mtu akitaka nimdownlodie aseme tena hata ukitaka 1080 nakushushia buree kabisa
NtaipakuaJana niliimaliza kuicheck hii series Aisee iko poa na story yake ni nzuri sana kwenye issues za kucontrol memories...Apple+ nawapa credit kwa kazi nyingine
Nipe link nishushe mzigoAliyerecommend hii shukran sana..View attachment 2263584
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Hatari sana ile kitu ushamaliza season 2?Wakuu Tehran noma sana![]()
Ndio niko episode ya 3 hapa nimezidownload ndio napunguza mdogo mdogo, niseme tu huu mzigo si mchezo balaa sanaHatari sana ile kitu ushamaliza season 2?
Endelea kuenjoy mzee...Huo mzigo ni nomaNdio niko episode ya 3 hapa nimezidownload ndio napunguza mdogo mdogo, niseme tu huu mzigo si mchezo balaa sana
Mkuu msaada ,nimefika Hadi hapo ila nikigusa hizo video hazifungukiHii hapo link The bureau ambayo huna haja ya kutafuta subtitles![]()
Unajua kudownload movie kwa kutumia uTorrent?Mkuu msaada ,nimefika Hadi hapo ila nikigusa hizo video hazifungukiView attachment 2271407