BIn khalifa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2019
- 216
- 204
Rate yake inaridhiaha ila bad cjajua kama nzur kwel au lah maana ina rate ya 9.10 nane ya kumi....Wazee wa ANIMATION kuna series inaitw ARCANE , , nani ameichek
Rate yake inaridhiaha ila bad cjajua kama nzur kwel au lah maana ina rate ya 9.10 nane ya kumi....Wazee wa ANIMATION kuna series inaitw ARCANE , , nani ameichek
mkuu unapakua kwa kifurushi gani? Mana toka vianze kutoeleweka sija pakua hata episode moja.Wadau kuna series inaitwa The club ya kutoka MEXICO ipo Netflix ila nimehangaika kuitafuta Telegram na kwenye sites za torrent huko kote nimeikosa na najua kinachofanya nisiipate ni jina la kihispania wanalotumia huko...So kama una link nitumie
Jamani kuna serie ya animation inaitwa INVISIBLE season tuhh imetoka aubado
hivi hii power mpya ni muendelezo wa ile ya kwanza au??POWER 3 RAISING KAANAN
MWEZI WA 8
View attachment 2255332
Hii series ya kinigeria kuna mtu kaiona
Thanks mkuu gorditaNi nzurii ina story nzuri
Hahahhhaa mkuu kuangalia movies ndio starehe yangu nikiwa sina kitu cha kufanya yaani ni sawasawa na mtu kila weekend au kila siku anapiga gambe au kufanya starehe yoyote...Sasa mimi sipigi gambe so hela yangu kwenye bando kushusha moviesmkuu unapakua kwa kifurushi gani? Mana toka vianze kutoeleweka sija pakua hata episode moja.
Tupeane machimbo ya vifurushi kama yapo
ni kweli mzee. Kuna movie kwenye library huku karibu yangu hawanaHahahhhaa mkuu kuangalia movies ndio starehe yangu nikiwa sina kitu cha kufanya yaani ni sawasawa na mtu kila weekend au kila siku anapiga gambe au kufanya starehe yoyote...Sasa mimi sipingi gambe so hela yangu kwenye bando kushusha movies
Power ile ile ila hizi zinaongelea mishe za wale character ambao tumewaona kwenye power mfano kuna POWER FORCE/Hii inaongela maisha ya tommy baada ya Ghost kufa, POWER 3 RAISING KAANAN/ hii inaongela maisha ya 50 Cent au KAANAN kabla hajaenda jela/POWER 2 hii inaongelea maisha ya Tariq baada ya Ghost kufahivi hii power mpya ni muendelezo wa ile ya kwanza au??
Duuh! Hizi bando zimeumiza watu wengi hata humu kumepooza tangu bando zipande na kwa season 1 au movie mnanunuaje? maana kuna mwana yupo Telegram ukitaka movie au series unamcheck then anakupangia siku uje na hela pamoja na USB flash, external, simu au laptop unachukua mzigo wako na wewe unampa hela.ni kweli mzee. Kuna movie kwenye library huku karibu yangu hawana
Mfano : 3% nk
bei yao ni reasonable kabisa ni buku tu kila season, changamoto ni kuwa hawataki kudownload Series ambayo haitrendDuuh! Hizi bando zimeumiza watu wengi hata humu kumepooza tangu bando zipande na kwa season 1 au movie mnanunuaje? maana kuna mwana yupo Telegram ukitaka movie au series unamcheck then anakupangia siku uje na hela pamoja na USB flash, external, simu au laptop unachukua mzigo wako na wewe unampa hela.
Hata huyo jamaa anatoza buku kwa season 1. Nenda Telegram mtafute jamaa anaitwa Mjuni wewe mpe hata link then mwambie akushushie season yoyote unayotaka atakufanyia ila yupo Darbei yao ni reasonable kabisa ni buku tu kila season, changamoto ni kuwa hawataki kudownload Series ambayo haitrend
nitafanya hivyoHata huyo jamaa anatoza buku kwa season 1. Nenda Telegram mtafute jamaa anaitwa Mjuni wewe mpe hata link then mwambie akushushie season yoyote unayotaka atakufanyia ila yupo Dar
Poa poanitafanya hivyo
Hata mimi naweza kukufanyia hivyo ila uchukue angalau mzigo wa 10K nakudownloadia quality ni 480p na 720P na subtitles kama unataka naweza kukutafutianitafanya hivyo
Power wameamua kutoa sequels zikielezea wale characters wa Power yani power Book 2 inaongelea maisha ya Tariq baada ya Ghost kufa, Power Boo 3 inatupa story ya Canan Stark alivyokuwa kabla hajakutana na Ghost tambua kuwa Canan Stark ndiye aliyemfundisha Ghost elimu ya mtaa, na Power Book 4 inaongelea maisha ya Tommy Eagan baada ya kifo cha Ghost...hivi hii power mpya ni muendelezo wa ile ya kwanza au??