Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kama kuna aliewahi kuiona Person of Interest au Alias aniambie ipi inanoga sana?
Nianze na ipi?
Na story zake kwa ufupi..
Alias person of interest sikuipenda sana niliingalia kwa sababu tu ndani yumo Henry wa Lost ambaye nilimkubali sana kwenye Lost nikaamini na humo anaweza.... Alais utakutana na Michael Vaugh ,Bibie Sydney Bristow, Arvin Sloan na Dixon hii ni timu ya ushind.. utakutana na Lombart Artifact kimsing kwangu mie hii ni moja ya series bora kabisa kispy.
 
Henry yupi? Au unamsemea Benjamin Linus?
 
Kuna huu mzigo, kuna watu humu ndani tayali wameshaucheki, tupeni feedback?
IMG_20220319_180731.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom