rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,112
- 7,796
Kote inagoma ata kwangu
Kwangu imegoma pia jamani msaada wa app
Kwangu imegoma pia jamani msaada wa app
Nimetizama hii bodygurd....ni nzuri ila sio sana....niseme plot yake sio kitu tofaut sana....the wrong side i see ni kwamba imeanza na mapenzi mapema sana....labda kama itakuwa na episods chache....Mkuu index bado haijawekwa ila unaweza pitia humu
http://o2tvseries.com/Bodyguard/Season-01/index.html
Mi nafanikiwa kudownload na kuziona lakini zinakosa majina ...zinasomeka in terms of numberKwang inapakua ila sijui inapojisave![]()
![]()
![]()
natafuta nizihamishe sizion kbsaaa daaah kwel yule alieitoa terrerium nikikutana nae pepon nitamsukumia moton kbsaa
![]()
View attachment 868268
Mbona kama mhusika kaisha ifungia, haisomiii kabisaMi nafanikiwa kudownload na kuziona lakini zinakosa majina ...zinasomeka in terms of number
Tumia Ololo.to iko poa sanaa sema ni search engine umoo kuna matakataka yotee, tatizo likoo unanaweza search movie yako ila zikaja kibaooo so inataka ujue full name la jina la movie unayotaka,,, unaweza Ku download kwa uwezo Wa mb zakoo sema kunaa ka process kafupy.Mie ilikubali mwanzo, but ikazingua njiani. Ilikuwa na mpangilio mzuri.
Hapa najaribu Showbox, Queen of the South S3E13 inanambia niwatch online....I will always miss Terrarium.
Mi kwang hatimae zimetokea namajina kbsa na zimejisave vzr hatakuhamisha nmeweza,daah nilishawaza sana,mwanzo zinatokea km namba ila baaada ya muda zinabadlika zinakuja majinaMi nafanikiwa kudownload na kuziona lakini zinakosa majina ...zinasomeka in terms of number
Nazungumzia Tea tvMbona kama mhusika kaisha ifungia, haisomiii kabisa
Ume dawnload kutoka katika official site?Teatv kwangu inagoma ku instal.... Nakosea wapi..??
Mkuu Terrirum inapiga mzigoo kuna mwqmba alituma Tutorial moja nimeicheki So sasa hivi natumia application kama kawaida.Nazungumzia Tea tv
Mkuu big up, imenifaaa hii shukraniNimewawekea hii naona hakuna hata aliyeifata....
Nimeiangalia zamani sana mpk nimesahau lakini ni series nzuri sana yapaswa kuangaliwa.mmeiangalia hii series inaitwa Intelligence? its about Doomsday waepon iliyobuniwa Na Nazis 1939 Na USA wakaiendeleza Na kuita Manhattan project ndani take kina project inaitwa Clockwork ambapo anachukuluwa special force anapandikizwa microchip yenye setelite,wi-fi, computer etc anaweza kuona tukio lililopita ilvyokua. akiangalia sula yako tu basis anapata details zako zoooote
Ngoja nikipata muda nifuate hatua zote mpk nifanikiweMkuu Terrirum inapiga mzigoo kuna mwqmba alituma Tutorial moja nimeicheki So sasa hivi natumia application kama kawaida.
Official site ni ipi? Mie niliipakua gugo!!Ume dawnload kutoka katika official site?
Hii episode inakuwa na wastan wa mb ngp?Mziki wa Terrium? Naona wenzangu mna mabando sio ya nchi hii. Mimi najikongoja na 02series yangu, haijawahi kuniangusha
Maximum kama mia hivi ila kitu mwakemwake babaakeHii episode inakuwa na wastan wa mb ngp?
.Hii episode inakuwa na wastan wa mb ngp?