Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakuu naomba kuulizia series inaitwa the veil
Je ni kali au napoteza muda tu
 
Waingeleza wana series nzuri, ila lazima ukaze kichwa.. Hii ni mojawapo pia
Yeah! Waingereza series nyingi zinatokana na vitabu na history za kweli that why zinakuwa nzuri ila kuna siku kuna demu mmoja aliniambia itafute Behind her eyes nikaishusha na kucheck Aisee nilishangazwa na haka ka series kwa jinsi ilivyopikwa sikutegemea kabisa maana series nyingi za relationships inatabiri tu itaishaje ila hii nilishangazwa

Screenshot_20220114-135948.png
 
View attachment 2080753
Heri ya mwaka mpya mzee... Long time hatujaonana hapa...

Unakuwa mtu wa tatu kuniambia kuwa Behind her eyes ni series kali, nitaitafuta aisee
 
Weeds sijaitizama, ila ni mpenzi sana drama na crime kama hizi za drugs... Inahusu nini Weeds?
Weeds Bibie Nancy ni mama mjane wa watoto wawili ambae anauza bangi kusupport familia. Inafurahisha jinsi anavyonavigate kila situation anazokutana nazo kwenye biashara yake..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom