Korean drama nyingi zenye mkono wa netflix zinakuwa ni nzuri mfano mzuri ni "Say my name"Netflix wameweka mpunga mrefu naamini itafanya vizur na uzuri wa wakorea hawana story za mashoga
Korean drama nyingi zenye mkono wa netflix zinakuwa ni nzuri mfano mzuri ni "Say my name"Netflix wameweka mpunga mrefu naamini itafanya vizur na uzuri wa wakorea hawana story za mashoga
Umeipata wapiOzark sijawaiielewa sijui kwanini
Bro niajeHujaelewa wapi mzee?
Kama ni mpenzi wa muziki wa Hip Hop, hii ni series kali sanaView attachment 2061482
Weeds sijaitizama, ila ni mpenzi sana drama na crime kama hizi za drugs... Inahusu nini Weeds?
Umeelezea Ozark, Mimi nilitaka Weeds,soma vizuri comments zangu..Kwa ufup kabisa jamaa alochota hela kwa wauza madawa ya kulevya maxico kwa ajil ya kuzitakatisha lkin Ana feli, na jamaa wanataka mzigo wao au anatolewa kafara yeye na familia yake ishu ipo kwenye kuilinda familia yake zidi ya watemi huku anahaha kuitafuta chenji!
Anapojarib kuingia Ozark ili kupapatua kuhakikiaha chenji inarud nako uko anakutana na watem wengine! Na FBI nao hawapo nyuma wanazid kumuandama! Ipo poa kias ila haitaji papara
Niaje bro, Kwema?Bro niaje
Walitoa movieNataman N.W.A wangetoa na ya kwao
Telegram?Wakuu nawezaje ku download Ozark kuanzia Season 1 kwa urahisi nimepambana lakini wapi
Nisogezee hiyo link pm brotherTelegram?
Nisogezee hiyo link pm brother
moviesnation.net
I have all of it s1-4, 2k@season njoo inbox..Wakuu nawezaje ku download Ozark kuanzia Season 1 kwa urahisi nimepambana lakini wapi
Check humo zote zipo broNisogezee hiyo link pm brother
Weeds inamhusu mwana mama mjane anayefanya biashara ya bangi ili kuendesha maisha yake na familia kasheshe ni anavyonavigate kwenye obstacles na challenges anazopitia. Its an 8 seasons series.Weeds sijaitizama, ila ni mpenzi sana drama na crime kama hizi za drugs... Inahusu nini Weeds?
Please Mkuu umetumia site ipi kuidownload mimi nimetumia toxic hakunaTehran
Uliyesuggest hii kitu ubarikiwe sana.
Ni ujasusi wa hali ya juu.
Mkuu Ozark nilijitahid kumaliza season 1 ila bado nikawa siielewi.. vip season 2 iko poa?Umemaliza Season One? Km umeangalia episodes moja au mbili za mwanzo inaboa lkn ukimaliza at least a season km hujawa hooked iache..To me this is in the level of Breaking Bad na Weeds.