Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,359
NOW WATCHING YELLOWJACKET
Hizi ratings zinatisha hakuna cha second thought hapa na dive right in, hadi rotten tomatoes wana 100%

NOW WATCHING YELLOWJACKET

Hizi ratings zinatisha hakuna cha second thought hapa na dive right in, hadi rotten tomatoes wana 100%
View attachment 2082644



mimi nipo Ep4 jana usiku nilianza kuangalia usiku nikaota mauzauza mengi sanaMzigo unahitaji utulivu tuu maana unaenda mbele na kuludi nyuma kwahiy usipotulia kuna sehem watakuachaHizi ratings zinatisha hakuna cha second thought hapa na dive right in, hadi rotten tomatoes wana 100%
View attachment 2082644
Upuuzi mtupuWakuu hii BMF "Black Mafia Family" ya 50 cent ni kali au?
Shukrani mkuuWeeds Bibie Nancy ni mama mjane wa watoto wawili ambae anauza bangi kusupport familia. Inafurahisha jinsi anavyonavigate kila situation anazokutana nazo kwenye biashara yake..
Mzigo unahitaji utulivu tuu maana unaenda mbele na kuludi nyuma kwahiy usipotulia kuna sehem watakuacha
mimi nipo Ep4 jana usiku nilianza kuangalia usiku nikaota mauzauza mengi sana














Nzuri sana,inaelezea ugunduzi wa da Vinci enzi hizo.Kuna hii series inaitwa Davinci’s Demons hivi ni nzuri au? maana kuna mtu kai recommend sio mpya though View attachment 2082761
Nzuri sana,inaelezea ugunduzi wa da Vinci enzi hizo.
Kali mnoWakuu naomba kuulizia series inaitwa the veil
Je ni kali au napoteza muda tu
Inahusiana na nini?Yeah! Waingereza series nyingi zinatokana na vitabu na history za kweli that why zinakuwa nzuri ila kuna siku kuna demu mmoja aliniambia itafute Behind her eyes nikaishusha na kucheck Aisee nilishangazwa na haka ka series kwa jinsi ilivyopikwa sikutegemea kabisa maana series nyingi za relationships inatabiri tu itaishaje ila hii nilishangazwa
View attachment 2080753
Ndo hiyo hiyo bossUnaulizia ile ya korea ?? Ni kali ila inabid utulize akili
Hivi imeishia season ya 1 tu?Kali mno
Yah imeishia season 1Hivi imeishia season ya 1 tu?
Si ya kukosa 🔥🔥🔥🔥This FridayView attachment 2088074