Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Nashindwa jinsi ya kuliweka folder la subtitles hapa, au nikupatie link?Naomba subtitles za season 5, maana nimezitafuta bila mafanikio
Resolution 720p
Nashindwa jinsi ya kuliweka folder la subtitles hapa, au nikupatie link?Naomba subtitles za season 5, maana nimezitafuta bila mafanikio
Resolution 720p
Original ni HEBREWHii fauda ipo yenye lugha ya English?
Download kwa vlc. Ni fasta zaidi na rahisi zaidiNaomba subtitles za season 5, maana nimezitafuta bila mafanikio
Resolution 720p
Sishauri mtu kupoteza muda kuangalia hii series!
Vipi season 3..itatoka?Narudia tena sijawahi kushawishiwa na mtu juu ya hivi vitu na pia sipo hapo kukushawishi juu ya hivi vitu
Siku chache zilizopita ilipata 9 ya 10 kwa upande wangu ila leo inapata 9.2 ya 10
Ahsanteni
View attachment 2026558
Inaitwaje?Bbc wamekuja na hii
Sijawahi angalia season mbovu toka nizaliwe nipo selective sana
Na sipo hapa kukushawishi
View attachment 2036923
inahusu nini mkuu?mzigo mkali huo, shusha mkuu.
Wametoa season 2 hivi karibuni ambayo imeishia episode ya 5 inaendelea Januari na kuishia Februari ambayo itakuwa zimetimia episodes 10Hivi power book II imeishia ngapi?
Ila hapo anonymous hamna au wavae pullover na sunglasses![]()





Mnyamwezi Paper BoiView attachment 2062015Wale tunaosubiri mzigo wa 3 wa Atlanta, tarehe ndio hiyo
1. Mayor of Kingstown
2. 1883 (2021)
Inahusu nini?