Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
YouTube hipo itafuteWAKUU MWENYE SERIES YA KISWAHILI, MANENO YA KUAMBIWA FULL SEASON NAIOMBA ...
NILIYONAYO HAINA SEHEMU YA 70-74, PIA 81-100 SINA.
NAITAFUTA KWA SABABU YA FAMILIA TU![]()
YouTube hipo itafuteWAKUU MWENYE SERIES YA KISWAHILI, MANENO YA KUAMBIWA FULL SEASON NAIOMBA ...
NILIYONAYO HAINA SEHEMU YA 70-74, PIA 81-100 SINA.
NAITAFUTA KWA SABABU YA FAMILIA TU![]()
Haipo yote mkuuYouTube hipo itafute
MwanzaUko wapi?
Mimi nipo mbali ishashindikana mkuu, tena ningekupa bure kabisaaaMwanza
Dogo kacheza sana humo na huwezi amini ni mtoto wa kisure tu maana mzazi wake mmoja ni mwanamuziki na mwingine muigizaji ila yupo serious na career yake utafikiri katoka kwenye maisha duni 😆😆
Yeah! Haikutokaa..Sijawahi ona s2
Kwa nni naw day wana cancel sana
Sijajua man ila kikubwa corona imeharibu kila kitu na sasa hivi kirusi cha omacron iko ndio kinazidi kuleta ugumu kwenye tasnia ya filamuKwa nni naw day wana cancel sana
Mkuu money heist tayariii????Sijajua man ila kikubwa corona imeharibu kila kitu na sasa hivi kirusi cha omacron iko ndio kinazidi kuleta ugumu kwenye tasnia ya filamu
Bado kidogoMkuu money heist tayariii????
We naye mfukua makaburi hatariCamilo Cienfuegos
Ulikuwa kwenye hali gani kipindi unaandika hii comment mzee
View attachment 2031212
Yeah! Ndugu yangu mzigo ushamwagika bado kushusha tuMkuu money heist tayariii????
Link mkuu