Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 20,962
- 46,586
Kwa mujibu wa chanzo niliko ipakua inaonesha ni season 5. Nimetizama vipande vi 5mmm hiyo ya ngap kwan uliyoangalia
Kwa mujibu wa chanzo niliko ipakua inaonesha ni season 5. Nimetizama vipande vi 5mmm hiyo ya ngap kwan uliyoangalia
Kumbe!😂😂 na vipi heist umetizama mpaka season ngapiNasemea professor yupo kwenye hiyo season ya wheel of a time anajiita Dragon reborn
Unayosemea wewe ni money heist season 5 volume 1 ndo Tokyo amekufa volume 2 imetoka janaVolume 2 tayari? Nimeishia tokyo kajilipua. Je kuna mwendelezo?
Kumbe imetoka jana ngoja nitafute vipande. Volume one nimeipenda imekaa kivita+emotion za majonzi mnoUnayosemea wewe ni money heist season 5 volume 1 ndo Tokyo amekufa volume 2 imetoka jana


Tusaidizane kivipiHapo kwnye money heist volume 2 Mwenye ameipakua tusaidizane wakuu![]()
Imetoka jana mimi ndo namalizia kudownload hapa badae baada ya kuangalia mechi zote za weekend ndo nitulie nianze kuangaliaKumbe imetoka jana ngoja nitafute vipande. Volume one nimeipenda imekaa kivita+emotion za majonzi mno
na mimi nlikuwa nashangaa hapaUnayosemea wewe ni money heist season 5 volume 1 ndo Tokyo amekufa volume 2 imetoka jana
Pamoja mzee umemuona professor lakin![]()

Money heist nimeipenda sana ushauri wakuuu series gan nzuri tena inaweza nifanya niwe addicted kma Money heist mliangalia series mingi ombi wakuuuImetoka jana mimi ndo namalizia kudownload hapa badae baada ya kuangalia mechi zote za weekend ndo nitulie nianze kuangalia View attachment 2032615
Hiyo hutakiwi kujiuliza mara mbili.. shusha huo mzigo.Sijawahi kuiangalia 24 vipi niitafute au niipotezee
Ukishataja Professor ujue ni money heist, huyo wa the wheel of time ana jina lake piaHahahah watu naona wanachanganya wakisikia professor wanajua Money Heist. Kuna na The wheel of Time pia![]()
Hutojutia.Sijawahi kuiangalia 24 vipi niitafute au niipotezee
Nimesoma story ya hii series nimeipenda sana nitaishushaBbc wamekuja na hii
Sijawahi angalia season mbovu toka nizaliwe nipo selective sana
Na sipo hapa kukushawishi
View attachment 2036923
Nimesoma story ya hii series nimeipenda sana nitaishusha
Jina la hii series tafadhali?Bbc wamekuja na hii
Sijawahi angalia season mbovu toka nizaliwe nipo selective sana
Na sipo hapa kukushawishi
View attachment 2036923