Series (Special thread)

Nimeamua niangalie upya Banshee
Kama ukiipenda Banshee icheki pia The Boys. Mimi nachopenda Banshee ni uigizaji wa Anthony Starr namkubali sana jamaa. Nimeshia s2. Nitaendelea, hebu icheki the boys naamini utaipenda hasa vituko vya Homelander.
 
Wakuu naombeni muongozo kati ya Peaky Blinders na Sherlock Holmes ipi nianze nayo, ipi kali kwa mliotazama hizi series??
...Hiyo Good father of harlem naomba mnipe maelezo kidogo kama nayo ni kali naona Wanaisifia sana
 
M

Mkuu The Boys nimeshaicheki nasubiria season 3

Homelander na kiboko yake Billy🤣
 
Wakuu naombeni muongozo kati ya Peaky Blinders na Sherlock Holmes ipi nianze nayo, ipi kali kwa mliotazama hizi series??
...Hiyo Good father of harlem naomba mnipe maelezo kidogo kama nayo ni kali naona Wanaisifia sana
Sherlock Holmes ni nzuri ila inahitaji utulivu sana sababu ni series ya kutumia akili sana alafu kingine haina episode nying unaimaliza faster tuuh
 
Narudia tena sijawahi kushawishiwa na mtu juu ya hivi vitu na pia sipo hapo kukushawishi juu ya hivi vitu

Siku chache zilizopita ilipata 9 ya 10 kwa upande wangu ila leo inapata 9.2 ya 10

Ahsanteni
images (19).jpeg
 
WAKUU MWENYE SERIES YA KISWAHILI, MANENO YA KUAMBIWA FULL SEASON NAIOMBA ...

NILIYONAYO HAINA SEHEMU YA 70-74, PIA 81-100 SINA.

NAITAFUTA KWA SABABU YA FAMILIA TU😇😅😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom