Series (Special thread)

Series (Special thread)

Powa mkuuu nakuelewa sana mkuu nimeanza pakua orzak ep 1 naw
Pamoja mzee na pia I hope umejifunza kitu humu wakati nakwambia kuhusu Deep state kuna watu walikwambia mbaya lakini wewe umeangalia umekuta nzuri. So kila mtu ana maoni yake na kila mtu ana vitu anavipenda kwenye series So usipende kusikiliza maoni ya watu humu ovyoovyo
 
Sana mkuuu Deep state lazima utulie utaielewa ukitaka tu ep 1 uanza kuchanganyikiwa nayo hata kidgo huta enjoy nakubal mzeee ngoja nicheki orzak likizo hii mkuu
 
Orzak mkuuu kwa kifupi sana inahusu nn na wahusika wake
Ozark inahusu jamaa mmoja ambaye ana familia yake na anaishi maisha ya kawaida Chicago ila kumbe ni financial advisor and accountant kwenye utakatishaji wa pesa wa muuza madawa mmoja wa Mexico. So anatoa idea sehemu nzuri ya kutakatisha pesa vizuri ni eneo linaitwa Ozark sasa kufika huko anakutana na changamoto ya familia ambazo zinaendesha biashara chafu na wapo powerful. So jamaa ambaye ni Jason Bateman anaumiza kichwa ya kulinda familia yake dhidi ya wauza madawa, kukamatwa na FBI, wenyeji wa Ozark na tatizo lingine maisha ya utakatishaji yanambadilisha hadi mkewe. I hope nimekupa mwanga kwa ufupi
 
Fresh mkuuu nimekupt
 
Narudisha shukrani kwa yule alienishauri kuiangalia SEE.

Ubarikiwe sana.

Kwa wale mnaoendelea na season 2, pale ilipofikia ni mwisho?
Maana sitaki niishie kwenye utamu, nataka nikiangalia nimalize moja kwa moja.

Uvumilivu wa kulaza viporo huwa sina kabisa.

Mfano mzuri tu ni namna 24 ilivyonifanya nikeshe 2 days in a row.
Hakuna kama 24,sijaona bado!
Sijawahi kwenda kutafuta vocha SAA 7 usiku kisa series ila 24 ilitenda hivyo,mzigo ulikata saa 7 ikabidi niingie mtaani!
Niliangalia 24 kwa masaa 13 consecutive!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom