Series (Special thread)

Series (Special thread)

Narudisha shukrani kwa yule alienishauri kuiangalia SEE.

Ubarikiwe sana.

Kwa wale mnaoendelea na season 2, pale ilipofikia ni mwisho?
Maana sitaki niishie kwenye utamu, nataka nikiangalia nimalize moja kwa moja.

Uvumilivu wa kulaza viporo huwa sina kabisa.

Mfano mzuri tu ni namna 24 ilivyonifanya nikeshe 2 days in a row.
Sio mwisho bado unaendelea kutoka.. nadhan ni kila alhmis km sijakosea
 
Niliacha kuangalia series za Korea muda mrefu sana.. Ila nimeanza kuangalia tena baada ya kuona SQUID GAME iko kwenye trend Netflix..

Naomba ni shauri kwa ambao hamjaucheki basi fanyeni mpango,

Mizigo ambayo natazama kwa sasa.

Sex education
SEE season 2 cont...
Squid game
 
New Amsterdam ni bonge moja la show nampenda dr Helen...she’s cute, halafu kwann jamaa hapo hapend Quantico?
ahsante kwa hili pendekezo lako, nimeziangalia episode 6 lakini tayari zimenizalishia ari ya kuendelea nayo. Nafikiri nchi yetu ingelikuwa na watendaji wakuu mfano wa yule medical director (Dr max) tungelikuwa mbali sana kinidhamu ya kazi na kujiamini kwa kile unachokisimamia.
==============
jamaa nilimuona kwenye blacklist, kwenye episode ya 3 kama nitakuwa sahihi nimemuona mwanama aliyeigiza uhusika wa katarina restova ndani ya blacklist

how may I help you?
 
You’re welcome... ni ukweli ndg yangu, yuko dedicated sana kwenye kazi yake ni viongoz wachache wapo vile ambao wanathamin maslahi ya watu juu ya pesa
 
View attachment 1954520

Tittle:Goliath
:
Season 4 (Episodes 08)
:
Status: Complete
:
Genres😀rama
:
Country Of Origin: United States
:
Rate: 8.1/10
:
STORYLINE
Billy Mcbride is going through a rough patch. He has been fired from the law firm he helped build, his wife has left him, and he's now a down on his luck ambulance chaser. A lady (Patty) approaches him to represent her in a wrongful death case. After reluctantly accepting to take on the case, a series of strange events befall Billy. Through death threats, harassment, and trumped up arrests, Billy embarks on obtaining justice, and it is one hell of a ride. Additional unique cases eventually come Billy and Patty's way, making the ride even more entertaining.
Mzee big up Sana kwa unachofanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom