Series (Special thread)

Series (Special thread)

Jamaa atakuwa ana kazi zingine,pia wamesema watamchukua Finn Cole, huyu ni ndungu wa damu na Sean, dogo flani hivi yupo pia kwenye Peaky blinders akitumia jina la Michael, mtoto wa Auntie Polly, pia yupo kwenye Animal Kingdom kama Josh Cody
Yeah! Huyo ni noma sana kule kwenye Animal kingdom ngoja tumcheck
 
IMG_1067.png

Kuna mdau alileta hii kitu hapa abarikiwe sanaa , kama hujaiona kaichek
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom