Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 452
Ya movie kaka
Lost ilinishindaga kitambo sana.1. Breaking Bad (G.O.A.T)
2. The Wire
3. Game of Thrones
4. Band of Brothers
5. Better Call Saul
6. Dark
7. Sopranos
8. Sherlock
9. True Detective (Season 1)
10. Rick and Morty (Animation)
11. Vikings (Season 1 to 3)
12. Peaky Blinders
13. Narcos
14. Lost
15. Chernobyl
16. Gomorrah
17. Mr Bean
18. Dexter
19. Avengers: The Last Airbender (Animation)
20. Westworld
21. Fargo (Season 1)
22. Homeland
23. Mandarolian
24. Hannibal
25. Spartacus
26. The Americans
27. Ozark
28. Scam 1992
29. Mindhunter
30. When They See Us
Kwanini ilikushinda mkongwe?Lost ilinishindaga kitambo sana.
Mtiririko wako wa matukio uko vagrant sana mzee ukizubaa kdg inakuacha so kuielewa inahitaji umakini sanaKwanini ilikushinda mkongwe?
Unarudia upya tu mzee, kuna series ukiangalia inabidi utulie kama upo kwa darasa yaani!Mtiririko wako wa matukio uko vagrant sana mzee ukizubaa kdg inakuacha so kuielewa inahitaji umakini sana
Unarudia upya tu mzee, kuna series ukiangalia inabidi utulie kama upo kwa darasa yaani!
![]()
, nitajaribu mkuu nione kama nitaambulia kitu, niliiangaliaga ilikuwa ni mwaka 2013![]()
, nitajaribu mkuu nione kama nitaambulia kitu, niliiangaliaga ilikuwa ni mwaka 2013



Nililost mkuu nilipoipata njia tu nikachomoka jumlaJitahid usije na ww uka lost humo humo![]()

The oval inaendelea leo tarehe 20Hivi jamani wazee wa Manifest tutapata wapi kiwanja Tena? HBO wametukataa, Netflix uchawi, yaaan daaah. Sijui nirudi miaka ya nyuma niangalie X-Files? Ila najua the coming season of SEAL TEAM itanikonga nyoyo. Lupin naye ubwege wa episode 5 KWA season asituchoshe, si Bora nimuangalie baby genius Sheldon kwenye Young Sheldon? The oval tangu episode 13 mpaka leo kimya.
Mzigo unaendelea season 9 mwezi wa August mwaka huuBlacklist imeisha season 8?
Nasikia Elizabeth Keen hatukuwepo tenaMzigo unaendelea season 9 mwezi wa August mwaka huu
Daah! Sijaifuatilia iyo mkuu....Kisa nini?Nasikia Elizabeth Keen hatukuwepo tena
Ameamua kusitisha mkatabaDaah! Sijaifuatilia iyo mkuu....Kisa nini?
Hahahaha Kashapata shavu sehemu nyingine na wanaweza kuimaliza season 9 ikawa mwishoAmeamua kusitisha mkataba
Yah inaweza ikawa hivyoHahahaha Kashapata shavu sehemu nyingine na wanaweza kuimaliza season 9 ikawa mwisho