Series (Special thread)

Nilijua hujaelewa bali ulikuwa unabishana basi ni hivi unajua why nimekupinga kuhusu IMDb coz siamini kwenye sites zinazotoa rate yaani kiufupi siamini kwenye sites zote zinazotoa rate maana unakuta series hii huku imepewa rate ya 8.3 huku kwingine ina 9.4. Why inatokea hivi coz ni Watu tu hatujui wana uwezo gani? Wapo wangapi? Ushabiki au kutopendezwa na kitu fulani? that why wanaipa rate iyo movies or series hata kama director, star au producer akishiriki kwenye movement yoyote wataipa rate iyo series au movies kulingana na iyo movement.

Kitu nilichogundua huipendi Money heist maana nilikuwa na mention na GOT ila wewe na wapambe wenzako mkawa mnatumia tu Money heist kitu ambacho sio kosa lenu bali ni uwezo wa kuelewa.

Why nimechukua Money heist na GOT coz ni series zinazopendwa dunia nzima na ujio wake unaona dunia nzima reactions za Watu kwenye social media, mashuleni, ofisini, mitaani na hata majumbani. Nikauliza maswali haya:
- Kama Got na Money heist zinapendwa kwasababu ni action mbona Nikita, strike back, warriors, Hanna na Into the badlands zote ni action series but hazikuwa zinapendwa na Watu wengi kuliko GOT na Money heist?.

- Kama hizi Got na Money heist zina kiki? Tuambie kiki gani zinafanywa na HBO pamoja na Netflix kuziweka hizi zipendwe na kusubiriwa kwa hamu kuliko izo zako za kwenye IMbd? Kama HBO na Netflix wanajua kiki mbona series zao zingine hazitambi kama hizi?.

- Kuna kuku wanakuja wanasema series hii ni kali kuliko hii (Ukishaongea kauli hizi najua wewe sio mwangiliaji wa series pale mpenda vitu fulani viwepo ndani ya series) nikauliza kitu gani kinaifanya series hii iwe bora kuliko zengine ikiwa series zina story, Genre na characters tofauti even Budget tofauti? (Zilikuja sababu za kijinga izo hadi aibu kuzitaja nikitaja Watu watakuja kutukana matusi tu humu 😆😆 na mwingine akaona soo akakimbia).

- Ikiwa Watu wote duniani wanapiga kura IMDb au kutoa rate na sio kikundi cha Watu wachache ambao huwajui unadhani izo list za series bora za mda wote hapo IMDb zingebaki ivo?.

So sites zinazotoa rate huziwezi ukasema zinatoa mawazo ya Watu wote duniani that why Watu wengi hawaangalii ilo wanaangalia story ipo vipi na sio izo sites.

I hope kwa maelezo haya umenielewa wewe na kikundi chako cha singeli kama mnataka kujadili hili jibu maswali yangu yote mliyoyakimbia kutokana na industry ya series ilivyo na sio maoni yako sijui kwangu mimi kwangu mimi 🤣🤣🤣 na kuanza kuleta michambo kama mwanamke mwenye mdomo mchafu sitojibizana tena hata mtoe matusi gani?Na tuwaachie Watu wengine na wao watoe comments zao kuhusu series mpya na zinazoendelea angalau wanakuwaga kimya.

Siku njema mzee wa kwangu mimi kwangu mimi 🤣🤣
wapi nimesema siipendi Money Heist? Eti "wapambe wenzio", inaonekana imekukera kuona kuna watu wanasapoti nilichokisema. Eti michambo, wewe jamaa una tatizo kubwa kuliko maelezo. Michambo ndio nini? Maneno unayoongea na dada zako unatuletea humu!?

NB: Usihangaike kunijibu, utapoteza muda wako, nimeshakuweka kwa "ignore list".
 
Hahahahaha wao ndio walikuwa wanabishana na uhalisia kwamba unachopenda wewe sio wanachopenda wenzako so usiwafanye wenzako hawajui series na pia series zina story tofauti how come unalinganisha.
Lingine series hazina kiki kama hii inapendwa na dunia nzima basi story ya iyo series ni kali na sio mimi na huwa wanasubiria kwa hamu kwa toleo jipya la season mpya basi wameipenda iyo series na ni nzuri kama ukisema Watu wanapenda action na mikiki mbona Nikita, warriors, strike back na into the badlands ni za action series lakini hazikupendwa kama GOT na Money Heist (Mtu anakuja anasema sababu ni level of intelligence )
Sema fresh mzee uzuri nikishakujua wewe unatoa maoni na sio uhalisia wa kwenye ulimwengu wa series ulivyo siwezi tena kujibizana na uyo mtu coz nishajua sio muangaliaji wa series bali ana compare series kwa kutaka vitu fulani viwepo ndani ya series kama series nyingine.

Pole kwa kusoma sms nyingi mzee.

Siku njema.
Kula like
 
Huwezi kujibu na Hakuna ilo jibu mzee za series hii ni bora kuliko nyingine coz of Genres, characters na story zipo tofauti kabisa labda upende ubishi tu na ndio watu wengi walivyo anabaki kusema kwangu mimi kwangu mimi ambayo ni maoni yako coz unapenda tu series fulani na iyo series iliyo bora kwako mwengine haipendi na hao Watu wanaotoa rate ni kama wewe that why IMDb wanakwambia kabisa hizi rate ni according to IMdb users ambao tunarudi palepale ni maoni yao.

Bora umetumia busara wa kutoongea utumbo na uongo ambao unatokana na maoni yako sio maoni ya Watu kama mfata upepo mwenzako aliyesema level of intelligence
Una matatizo ndugu afu unapenda ligi sana,

Nimesema we mshindi hayo maneno mengine sijui utumbo n.k nikuonesha we ni wa namna gani.
 
Una matatizo ndugu afu unapenda ligi sana,

Nimesema we mshindi hayo maneno mengine sijui utumbo n.k nikuonesha we ni wa namna gani.
Mimi nilishamaliza na wewe ungekuwa na busara na huna matatizo kichwani usingejibu iyo sms ya tangu Ijumaa na sisi tushasahau hayo mambo tunadiscuss vitu vingine wewe unaleta utumbo na utoto
 
Naweza kupata tamthilia za kifilipino za zamani (The promise, Timeless, Marimari, It might be you, more than love. Etc) mwenye link au jinsi ya kuzipata hizi tamthilia anaijuze tafafhali
 
Hawa watu kupata tamthilia zao mtandaoni ni ngumu mno, sijui walitumia njia gani kuzuia zisivujishwe

Kuna sites niliwahi kuzifuma ila mpaka ulipie..
 
Duuh!

Screenshot_20210703-101637.png
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..


UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2.Narcos
3.Quantico
4.blindspot
5.The bastard executioner
6.Limitless

7. Jessica Jones
8.The Returned
9.Tyrat
10.Power
Peaky fucking blinders
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom