Series (Special thread)

Nakushauri weekend yako tafuta huu mzigo
The-Mosquito-Coast-Review-2021-Tv-Show.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Vijana wengi nikiwatajia hiyo series wakaitazame huwa wanakuja kunilaumu kuwa nimewaingiza "mkenge". Huwa nashangaa sana.
hahahaa yani mtu anayeona money heist ndo best series yake ukimtajia the wire au breaking bad ni baadhi ya tv show bora toka dunia iumbwe atatamani akunyonge,kwaiyo tuwaache ivo ivo kuna mtu mwingi yeye anapenda kuona action tu,hataki kujua stori iliendaje yeye anachohitaji kukiona ni ngumi na bunduki tu
 
Baharia mweusi na wenzako mmeleta fujo yaani mkeka wetu unamabishano yenu daah.

Anyways, tuendelee na kupeana madini.
Hahahahaha wao ndio walikuwa wanabishana na uhalisia kwamba unachopenda wewe sio wanachopenda wenzako so usiwafanye wenzako hawajui series na pia series zina story tofauti how come unalinganisha.
Lingine series hazina kiki kama hii inapendwa na dunia nzima basi story ya iyo series ni kali na sio mimi na huwa wanasubiria kwa hamu kwa toleo jipya la season mpya basi wameipenda iyo series na ni nzuri kama ukisema Watu wanapenda action na mikiki mbona Nikita, warriors, strike back na into the badlands ni za action series lakini hazikupendwa kama GOT na Money Heist (Mtu anakuja anasema sababu ni level of intelligence 😂😆)
Sema fresh mzee uzuri nikishakujua wewe unatoa maoni na sio uhalisia wa kwenye ulimwengu wa series ulivyo siwezi tena kujibizana na uyo mtu coz nishajua sio muangaliaji wa series bali ana compare series kwa kutaka vitu fulani viwepo ndani ya series kama series nyingine.

Pole kwa kusoma sms nyingi mzee.

Siku njema.
 
Natamani tueleweshane zaidi lakini nahsi tutaendeleza ubishi kitu ambacho si lengo la hii thread.

Ningekuelezea kwanini series inakuwa high rated hata kama sio most watched, pia hata Kama sio pendwa sana machoni mwa watu

Ningeeleza pia kwanini breaking bad iko juu zaidi ya series nyingine za aina hiyo japo si wote waliitazama breaking bad.

Na kufupisha huu ubishi, tuseme umeshinda
Huwezi kujibu na Hakuna ilo jibu mzee za series hii ni bora kuliko nyingine coz of Genres, characters na story zipo tofauti kabisa labda upende ubishi tu na ndio watu wengi walivyo anabaki kusema kwangu mimi kwangu mimi ambayo ni maoni yako coz unapenda tu series fulani na iyo series iliyo bora kwako mwengine haipendi na hao Watu wanaotoa rate ni kama wewe that why IMDb wanakwambia kabisa hizi rate ni according to IMdb users ambao tunarudi palepale ni maoni yao.

Bora umetumia busara wa kutoongea utumbo na uongo ambao unatokana na maoni yako sio maoni ya Watu kama mfata upepo mwenzako aliyesema level of intelligence 😂😆😆
 
Bora umetumia busara wa kutoongea utumbo na uongo ambao unatokana na maoni yako sio maoni ya Watu kama mfata upepo mwenzako aliyesema level of intelligence

una issues wewe mbona maneno mengi sana halafu hayana mashiko ndg brainless dumpster humpter
 
una issues wewe mbona maneno mengi sana halafu hayana mashiko ndg brainless dumpster humpter
Nilikwambia unakurupuka Umeona akili zako alafu umesema unaangalia series ya Suits ili ujifunze sasa unajifunza nini? Nimereply sms ya mtu mwingine ila unajibu wewe wakati nimekuuliza maswali yangu hujibu? Ila unataka tuanze kuitana majina ya kijinga mimi sina utoto huo coz level ya kufikiri ipo chini sana au sio mzee wa level za intelligence au zipo series zisizokuwa na makosa 😆😆😆
 
Huwezi kujibu na Hakuna ilo jibu mzee za series hii ni bora kuliko nyingine coz of Genres, characters na story zipo tofauti kabisa labda upende ubishi tu na ndio watu wengi walivyo anabaki kusema kwangu mimi kwangu mimi ambayo ni maoni yako coz unapenda tu series fulani na iyo series iliyo bora kwako mwengine haipendi na hao Watu wanaotoa rate ni kama wewe that why IMDb wanakwambia kabisa hizi rate ni according to IMdb users ambao tunarudi palepale ni maoni yao.

Bora umetumia busara wa kutoongea utumbo na uongo ambao unatokana na maoni yako sio maoni ya Watu kama mfata upepo mwenzako aliyesema level of intelligence 😂😆😆
Eti mfata upepo mwenzako!
😂😂😂😂
Wewe bwana mdogo una vituko sana!
 
Nilikwambia unakurupuka Umeona akili zako alafu umesema unaangalia series ya Suits ili ujifunze sasa unajifunza nini? Nimereply sms ya mtu mwingine ila unajibu wewe wakati nimekuuliza maswali yangu hujibu? Ila unataka tuanze kuitana majina ya kijinga mimi sina utoto huo coz level ya kufikiri ipo chini sana au sio mzee wa level za intelligence au zipo series zisizokuwa na makosa 😆😆😆
😂😂😂
 
Nilikwambia unakurupuka Umeona akili zako alafu umesema unaangalia series ya Suits ili ujifunze sasa unajifunza nini? Nimereply sms ya mtu mwingine ila unajibu wewe wakati nimekuuliza maswali yangu hujibu? Ila unataka tuanze kuitana majina ya kijinga mimi sina utoto huo coz level ya kufikiri ipo chini sana au sio mzee wa level za intelligence au zipo series zisizokuwa na makosa

Kwenye hiyo reply ya si umenijumlisha ukantaja kwa sarcasm na kuhusu maswali mentality yako imekaa kubisha kwahiyo ukijibiwa unachofanya ww ni ku twist maneno then unabisha
Nb
If you spend all day shuffling words around, you can make anything sound bad
 
Ngoja tumalize hili jambo mkongwe, mimi natumia IMDB, tuachane na IMDB. Weka "genuine" site yako unayoiamini, ambayo inaiweka Money Heist katika top 15 best TV Series of all time.
Nilijua hujaelewa bali ulikuwa unabishana basi ni hivi unajua why nimekupinga kuhusu IMDb coz siamini kwenye sites zinazotoa rate yaani kiufupi siamini kwenye sites zote zinazotoa rate maana unakuta series hii huku imepewa rate ya 8.3 huku kwingine ina 9.4. Why inatokea hivi coz ni Watu tu hatujui wana uwezo gani? Wapo wangapi? Ushabiki au kutopendezwa na kitu fulani? that why wanaipa rate iyo movies or series hata kama director, star au producer akishiriki kwenye movement yoyote wataipa rate iyo series au movies kulingana na iyo movement.

Kitu nilichogundua huipendi Money heist maana nilikuwa na mention na GOT ila wewe na wapambe wenzako mkawa mnatumia tu Money heist kitu ambacho sio kosa lenu bali ni uwezo wa kuelewa.

Why nimechukua Money heist na GOT coz ni series zinazopendwa dunia nzima na ujio wake unaona dunia nzima reactions za Watu kwenye social media, mashuleni, ofisini, mitaani na hata majumbani. Nikauliza maswali haya:
- Kama Got na Money heist zinapendwa kwasababu ni action mbona Nikita, strike back, warriors, Hanna na Into the badlands zote ni action series but hazikuwa zinapendwa na Watu wengi kuliko GOT na Money heist?.

- Kama hizi Got na Money heist zina kiki? Tuambie kiki gani zinafanywa na HBO pamoja na Netflix kuziweka hizi zipendwe na kusubiriwa kwa hamu kuliko izo zako za kwenye IMbd? Kama HBO na Netflix wanajua kiki mbona series zao zingine hazitambi kama hizi?.

- Kuna kuku wanakuja wanasema series hii ni kali kuliko hii (Ukishaongea kauli hizi najua wewe sio mwangiliaji wa series pale mpenda vitu fulani viwepo ndani ya series) nikauliza kitu gani kinaifanya series hii iwe bora kuliko zengine ikiwa series zina story, Genre na characters tofauti even Budget tofauti? (Zilikuja sababu za kijinga izo hadi aibu kuzitaja nikitaja Watu watakuja kutukana matusi tu humu 😆😆 na mwingine akaona soo akakimbia).

- Ikiwa Watu wote duniani wanapiga kura IMDb au kutoa rate na sio kikundi cha Watu wachache ambao huwajui unadhani izo list za series bora za mda wote hapo IMDb zingebaki ivo?.

So sites zinazotoa rate huziwezi ukasema zinatoa mawazo ya Watu wote duniani that why Watu wengi hawaangalii ilo wanaangalia story ipo vipi na sio izo sites.

I hope kwa maelezo haya umenielewa wewe na kikundi chako cha singeli kama mnataka kujadili hili jibu maswali yangu yote mliyoyakimbia kutokana na industry ya series ilivyo na sio maoni yako sijui kwangu mimi kwangu mimi 🤣🤣🤣 na kuanza kuleta michambo kama mwanamke mwenye mdomo mchafu sitojibizana tena hata mtoe matusi gani?Na tuwaachie Watu wengine na wao watoe comments zao kuhusu series mpya na zinazoendelea angalau wanakuwaga kimya.

Siku njema mzee wa kwangu mimi kwangu mimi 🤣🤣
 
Kwenye hiyo reply ya si umenijumlisha ukantaja kwa sarcasm na kuhusu maswali mentality yako imekaa kubisha kwahiyo ukijibiwa unachofanya ww ni ku twist maneno then unabisha
Nb
If you spend all day shuffling words around, you can make anything sound bad
Heeh! Kweli umetajwa jina? basi na wewe andika bila kunitaja alafu uone kama mwanaume mimi nitareply.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom