Series (Special thread)

Nimeiona si Ile ya youth trends Kwa telegram nimeijaribu hai exist anymore mkuu.
Check kwenye hii channel

Screenshot_20210621-172705.png
 
Unachopitia wewe, ndio ninachopitia mimi. Huwa ninacheki TV series kali sana "classic", kiasi kwamba siku hizi napata tabu ya kupata TV series za kutazama. Hiyo Lupin nimecheki season ya kwanza kwa "shida" sana (ni TV show ya kawaida sana), kiasi kwamba siwezi kuiangalia season ya pili. Hii Lupin ndio imefanya nianze kupitia reviews za IMDB kabla sijaanza kuifuatilia TV Series yoyote, nakushauri na wewe kufanya hivyo ili kukwepa hii "kero".

Nimeshacheki series kali/konki karibia zote , nahisi nimezimaliza mzee (natania), nitajie series kali ambazo umeshazicheki ili nijaribu kuzifanyia tathmini, labda naweza kupata kitu kikali cha kuangalia.
Ogopa sana hiyo hali mkuu,

Yani mkute mtu umecheck

¶breaking bad
¶GOT
¶prison break
¶vikings
¶24
¶lastship
¶walkng dead
¶strike bck
¶money heist
¶peaky blinders

Na nyingine zenye ukubwa huo, sio rahisi kupata kama hizo hasa ukitaka kuzifananisha na hizo
 
Hiyo Planet Earth ni documentary, mimi sio mpenzi wa documentary series, ndio maana sijawahi kuiangalia mpaka leo. Ila top ten ya IMDB ukiondoa documentaries, nimeshazitazama, na kwa mtazamo wangu hawajakosea katika "kuzirank". Kuna wakati huwa nafikiri sisi "Wabongo" huwa hatujui TV Series nzuri, hiyo nahisi inachangiwa na level of INTELLIGENCE, Wabongo tunapenda TV series ambazo zina matukio mepesi kuyachakata, ndio maana Wabongo wengi ni wapenzi wa action movies/series, ndio maana ni rahisi kukuta mtu anakuambia Money Heist ni kali kuliko The Wire au Strike Back ni kali kuliko Breaking Bad, wakati ukweli ni kuwa The Wire na BB ni kati ya TV series kali kabisa kuwahi kutengenezwa hapa duniani. TV series karibia zote ambazo zinachukuliwa kama kali kuwahi kutengenezwa, sio "popular" mtaani au humu jukwaani, tukiondoa mapenzi binafsi, sababu ni hiyo niliyokuambia hapo juu (Level of intelligence).
Niko na wewe %
 
Kweli umesema vizuri ndugu yangu series nyingi zinahitaji uelewa mzuri ili kuifaidi vizuri maana utaelewa kila kitu kinachoendelea, binafsi kwenye movie ukiachana na plot huwa napenda zile minor issues kama conversations, zile savage replies, quotes na comebacks huwa nafurahi sana•

baadhi ya shows zinahitaji background nzuri uwe unajua labda Law hata kigogo kwa series kama Suits na nyingine utakuta uwe una background ya physics kidogo mfano Scorpion, Salvation kuna nyingine za Medical dramas ni tamu huwa napenda kujifunza vitu mfano The resident, Grey’s Anatomy, New Amsterdam pamoja na The Good doctor hizi series zipo za auna tofauti kulenga wahitaji tofauti, kuna wengine wanapenda series zile za crazy actions watu wanabondana tu basi iko hivyo•

Leo ni Premier ya F9 (Fast and Furious) mzigo Theatre Century Cinemax baadae ni mwendo wa kula radha ya Crazy actions
Hii kitu niliitoa kwa rafiki yangu mmoja way back wakati tuko shule, alikuwa anapenda sana conversation, hizo quotes na yale mambo ukiskia kama haujatuliza akili huwezi jua.

Na hii kitu ilinifanya nikaipenda sana PB, BB na GOT
 
YES MONEY HEIST NI KALI KULIKO THE WIRE, acha acha acha kabisa mkongwe!!!
Naona Breaking Bad ipo nafasi ya 19 katika hiyo list , Stranger Things namba 2.
Mzee hii Money Heist ni series ya kawaida sana kulinganisha Breaking Bad, Chernobyl au The Wire. Ngoja nikuchekeshe zaidi, hii Money Heist haiifikii hata Lost, ingawa Lost haipo katika hiyo list ya TV shows zilizowahi kutazamwa zaidi ila bado ukiziweka pamoja hiyo Lost inashinda asubuhi na mapema (kwa wanaojua contents and quality lakini).
Mjomba kwa huu mtazamo wako, nafikiri haushindwi kusema Drake ni mwana Hip Hop bora kushinda Kendrick Lamar. Populality and quality are different terms Broh.
Mi mwamba sikupingi kabisa,

Yani ni kama kusema sixnine kapata views 100mil within a day et basi ni msanii mkali kuriko j Cole, au Jayz.

Tupo kwenye kizazi cha tiktok
 
Yeah ni utumbo coz hata wewe unashangaa most watched series of all time Breaking bad ipo chini
Embu kabla sijakutajia niambie series bora kuwahi kutengenezwa ina sifa zipi? Maana hujui uanchosimamia na wala hujibu maswali yangu zaidi ya kusema kwangu mimi kwangu mimi
Bro most watched series au movies sio kigezo cha kuwa bora moja kwa moja,

Kuna vigezo hutumika, harafu breaking bad imetoka wakati gani! Kwa wakati huu et utaambiwa stranger things iko juu ya 24 ama hata PB kwa maelezo yako et!

Ndio maana utakuta nyimbo ya Michael Jackson iko na views wachache compared na watoto wa saivi ambao hawana hata nusu ya uwezo wa mj

Ukikuta watu ambao wako vizuri kwenye series au movie kamwe, narudia tena kamwe usije iweka money heist na breaking bad, PB, au hata vikings
 
Most watched sio kigezo cha movies kuwa bora moja kwa moja.....Tuanze hapa nini kinafanya watu waangalie tv show hii kwa wingi na kuacha hii?

Tuanze hapo tu tunapeana elimu
 
Uukikuta watu ambao wako vizuri kwenye series kamwe usije iweka money heist na Breaking bad, prison break au hata vikings.

Swali: Watu ambao wapo vizuri kwenye series wanakuwa na uwezo upi kwenye kujadiri movies?
 
Bro most watched series au movies sio kigezo cha kuwa bora moja kwa moja,

Kuna vigezo hutumika, harafu breaking bad imetoka wakati gani! Kwa wakati huu et utaambiwa stranger things iko juu ya 24 ama hata PB kwa maelezo yako et!

Ndio maana utakuta nyimbo ya Michael Jackson iko na views wachache compared na watoto wa saivi ambao hawana hata nusu ya uwezo wa mj

Ukikuta watu ambao wako vizuri kwenye series au movie kamwe, narudia tena kamwe usije iweka money heist na breaking bad, PB, au hata vikings
Sorry wakati Michael Jackson anatoa nyimbo watumiaji wa smartphones hawaakuwa wengi yaani kiufupi Watu hawakuwa na smartphone na nyimbo nyingi tunaangalia kwenye TV hata internet. So usipendelee huu mfano kuweka kwenye TV shows.
Pia kinachomfanya MJ kuwa bora ana tuzo nyingi za heshima na mauzo yalivunja records hivi ingekuwa ana utunzi mbovu angechukua tuzo au kuuza izo albums?

Twende kidogo kidogo ndugu yangu tupeane shule
 
Ogopa sana hiyo hali mkuu,

Yani mkute mtu umecheck

¶breaking bad
¶GOT
¶prison break
¶vikings
¶24
¶lastship
¶walkng dead
¶strike bck
¶money heist
¶peaky blinders

Na nyingine zenye ukubwa huo, sio rahisi kupata kama hizo hasa ukitaka kuzifananisha na hizo
Hizi series zako mkuu sio kali kwa mujibu wa IMDB 😂😂😂 series kali za muda wote hapo kwako ni moja tu Breaking Bad. Unafikiri why series zako ulizotaja sio kali ukiachana na Breaking bad kwa mujibu wa IMDb na zinazidiwa na Chernobyl, Avatar wala The wire?
 
Most watched sio kigezo cha movies kuwa bora moja kwa moja.....Tuanze hapa nini kinafanya watu waangalie tv show hii kwa wingi na kuacha hii?

Tuanze hapo tu tunapeana elimu

Ni Intelligence.. sababu inaweza kuangaliwa na watu wa uelewa tofauti hata watu simple ila hiyo sio sifa ya series kuwa bora , series bora inakuwa haina plot holes nyingi, kuna character development inayoeleweka kunakuwa na unexpected twist ambazo zina blow your mind kama zile sudden deaths za GOT, mpangilio wa storyline pia inakuwa na Memorables characters

Level of intelligence bro inachangia kuna series ni Animation inaitwa Ricky and Morty ile Series ni kali aisee ila mtu wa kawaida tu hivi hawezi akaiangalia wala akaiona interesting na I doubt hata kama unaijua sasa nenda kaifuatilie reviews zake uone. Watu wanaoiangalia mpaka kina Elon Musk
 
IMBD ni utumbo?😂😂😂😂
Tumalize nusu ya huu mjadara, niwekee vyanzo unavyoviamini wewe, ambavyo vinaonesha Money Heist ipo katika walau series 15 bora kuwahi kutengenezwa, maana nikikuambia 10 nitakuwa nakuonea.
mkuu naomba top 20 ya series zako all the time...lazima ndapata kitu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom