JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,324
- 17,911
Yellowstone,inatoka lini?mwenye taarifa tafadhali
Elezea kidogo juu ya hii Yellowstone mkuuYellowstone,inatoka lini?mwenye taarifa tafadhali
Wkend ishapendeza mpaka hapoView attachment 1815328
Nishadaka telegram
Sana nimependaQueen of south naona ndo imefika tamati, ila imeisha vizuri sana
Nasikia lupin tayr Netflix wameagize season 3Wkend ishapendeza mpaka hapoView attachment 1815507
Ni familia moja USA,cow boys family,inamiriki biashara ya mifugo,Ranch,na biashara zingine kama real estate,ni story inayohusu mapambano ya kibiashara Kati ya baba(John Dutton) wa hii familia na wapinzani zake kwenye biashara,Elezea kidogo juu ya hii Yellowstone mkuu
Shukrani mkuu,ntaitafutaNi familia moja USA,cow boys family,inamiriki biashara ya mifugo,Ranch,na biashara zingine kama real estate,ni story inayohusu mapambano ya kibiashara Kati ya baba(John Dutton) wa hii familia na wapinzani zake kwenye biashara,
Ni Crime,Drama,history series.
Niko naangalia Max Anger hapa ya Kiswidi kama mtu aliipenda Berlin Station,Undercover no Basi hii sio ya kukosa aisee
Kinachonikera ni hizi muvi zao kutofanyiwa dubbing ila wanaweka subtitles hardcoded tu
Napanda muvi ya lugha tofauti na English wafanye dubbing kama walivyofanya kwenye Lupin ndo inanoga,subtitle zitatufanya tuwe na makengeza Bure. Jicho moja picha jingine maandishi ila kibishi tu fresh
Baaada ya Kanan atafuata Ghost(St Patrick) maana Kaanan ndo alimfundisha Ghost maujanja ya mtaaniMzigo wa The Ghost book III inakuja July 18 ambayo part hii inamhusu maisha ya KANAN (50 Cent) kuanzia utotoni akisurvive kwenye mitaa ya Jamaica
View attachment 1818828
Hapana mzee itakuwa hivi baada ya KANAN itafuata Power book 4: Force ambayo itahusu maisha ya Tommy Egan anasurvive vipi huko Chicago peke yake baada ya kukimbia New york then itakuja Power book 5:Influence ambayo itamuhusu yule councilman Rashad Tate.Baaada ya Kanan atafuata Ghost(St Patrick) maana Kaanan ndo alimfundisha Ghost maujanja ya mtaani
imeishia s04Wakuu snowfall season mpya imetoka??
Nimependa hii sentensi "UKIANGALIA MOVIE BASI USIFANYE COMPARISON NA MOVIE NYINGINE"CYPHER series
Hii series iko overrated hum ndani, ni series ya kawaida sana ndio maana hata rate yake ndogo,
Nadhani ni kwasababu ya movie ama series nyingi nilizowahi kuona ni za level ya juu Sana, ndio maana series Kama cypher naiona iko level ya chini, na wakijatahidi sana watatoa S2 then wata cancel.
Idea ilikuwa nzuri kiasi, Ila waigizaji wamefeli bora kidogo yule dem FBI, Kama movie inatakiwa kuwa ya ki mafia Basi tuone umafia kweli,
kama movie itatakiwa kuonesha ujasusi basi tuuone kweli, ikiwa mission basi tuone harakat za kweli na Kama ikiwa na matumizi ya akili inabidi tuone.
Nimekuja kugundua kwamba ukiangalia movie basi usifanye comparison na movie nyingine hasa Kama umechek zile top rated movie au series za muda wote, maana hata lupin nikifananisha na movie za aina hiyo naiona iko level za chini.
#Hayo ni maoni yangu... Ahsanteni.
Pia napenda wadau wanao tupia list zao humu,
Mwisho kabisa, TELEGRAM Ina kizi mahitaji yote ni namna tu yakuitumia, hakuna series au movie utakosa kule,
Unachopitia wewe, ndio ninachopitia mimi. Huwa ninacheki TV series kali sana "classic", kiasi kwamba siku hizi napata tabu ya kupata TV series za kutazama. Hiyo Lupin nimecheki season ya kwanza kwa "shida" sana (ni TV show ya kawaida sana), kiasi kwamba siwezi kuiangalia season ya pili. Hii Lupin ndio imefanya nianze kupitia reviews za IMDB kabla sijaanza kuifuatilia TV Series yoyote, nakushauri na wewe kufanya hivyo ili kukwepa hii "kero".CYPHER series
Hii series iko overrated hum ndani, ni series ya kawaida sana ndio maana hata rate yake ndogo,
Nadhani ni kwasababu ya movie ama series nyingi nilizowahi kuona ni za level ya juu Sana, ndio maana series Kama cypher naiona iko level ya chini, na wakijatahidi sana watatoa S2 then wata cancel.
Idea ilikuwa nzuri kiasi, Ila waigizaji wamefeli bora kidogo yule dem FBI, Kama movie inatakiwa kuwa ya ki mafia Basi tuone umafia kweli,
kama movie itatakiwa kuonesha ujasusi basi tuuone kweli, ikiwa mission basi tuone harakat za kweli na Kama ikiwa na matumizi ya akili inabidi tuone.
Nimekuja kugundua kwamba ukiangalia movie basi usifanye comparison na movie nyingine hasa Kama umechek zile top rated movie au series za muda wote, maana hata lupin nikifananisha na movie za aina hiyo naiona iko level za chini.
#Hayo ni maoni yangu... Ahsanteni.
Pia napenda wadau wanao tupia list zao humu,
Mwisho kabisa, TELEGRAM Ina kizi mahitaji yote ni namna tu yakuitumia, hakuna series au movie utakosa kule,
Reviews za IMDB sizifuatilii mimi nafikiri ni jinsi mtu anapenda nini maana hata wewe ukiweka list za series zako kali watu wataziponda pia.So tunarudi palepale kuna wanaocompare series, wanaongalia story na wengine wanataka vitu fulani viwepo kama havipo utasikia series imepoa au ya kawaidaUnachopitia wewe, ndio ninachopitia mimi. Huwa ninacheki TV series kali sana "classic", kiasi kwamba siku hizi napata tabu ya kupata TV series za kutazama. Hiyo Lupin nimecheki season ya kwanza kwa "shida" sana (ni TV show ya kawaida sana), kiasi kwamba siwezi kuiangalia season ya pili. Hii Lupin ndio imefanya nianze kupitia reviews za IMDB kabla sijaanza kuifuatilia TV Series yoyote, nakushauri na wewe kufanya hivyo ili kukwepa hii "kero".
Nimeshacheki series kali/konki karibia zote 😂😂😂, nahisi nimezimaliza mzee (natania), nitajie series kali ambazo umeshazicheki ili nijaribu kuzifanyia tathmini, labda naweza kupata kitu kikali cha kuangalia.