Series (Special thread)

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ YES MONEY HEIST NI KALI KULIKO THE WIRE, acha acha acha kabisa mkongwe!!!
Naona Breaking Bad ipo nafasi ya 19 katika hiyo list πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Stranger Things namba 2.
Mzee hii Money Heist ni series ya kawaida sana. Ngoja nikuchekeshe zaidi, hii Money Heist haiifikii hata Lost, ingawa Lost haipo katika hiyo list ya TV shows zilizowahi kutazamwa zaidi ila bado ukiziweka pamoja hiyo Lost inashinda asubuhi na mapema (kwa wanaojua contents and quality lakini).
Mjomba kwa huu mtazamo wako, nafikiri haushindwi kusema Drake ni mwana Hip Hop bora kushinda Kendrick Lamar. Populality and quality are different terms Broh.
Daah! Ni maoni yako ambayo yanatokana na kuipenda the lost na series zingine na kutoipenda money heist au Game of Thrones na hivyo hivyo atatokea mtu mwingine atasema izo series zenu mbaya series kali ni 24 au prison break hayo ni maoni ya mtu na kipi anapenda series iwe na sio rate za IMBd
Na ukizungumzia The lost nimeangalia mwanzo mwisho so hata kwangu haipo poa kama Money heist so haiwezi kushinda hata siku moja.

Sasa unaponichekesha ni hapa kama Lost haipo kwenye iyo list na haipo kwenye Top 10 za series bora za muda wote za IMDb na imepewa rate sawa na Money heist na haohao IMBd inakuwaje wewe unasema ipo bora kuliko money heist wakati IMBd unayoiamini ni source yako bora imeitoa kwenye list na kuipa sawa na money heist?
Huoni kama unatoka kwenye mstari 🀣🀣🀣🀣
 
Mzee, wewe ndio ambaye unatoka kwenye mstari. Hoja yangu ilianza kwa kumwambia jamaa mmoja hapo juu, kuwa siku hizi siwezi kucheki TV series bila kupitia reviews za IMDB, wewe ukaipinga hii hoja kwa kusema hawa jamaa washawahi kukupeleka chaka. Mimi nakwambia kwangu hawajawahi kukosea, pia hata top ten(10) ya series kali kuwahi kutokea hawajaikosea. Pia sijakuambia kuwa Lost ipo katika top ten(10) ya series kali za muda wote aisee, acha kunilisha maneno. Mimi nimekwambia ninaamini Lost ni kali kuliko Money Heist ingawa haipo katika hiyo list ya series zinazoongoza kwa kutazamwa zaidi duniani. Yaani nimetaja Lost nikiwa ninamaanisha kuwa bado zipo series kali ambazo hazipo katika hiyo list uliyoiweka, lakini series hizo ukilinganisha na Money Heist, Money Heist inakuwa ni takataka kabisa, unaijua The Sopranos wewe?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pia najua kama Lost na Money Heist zina rates kiwango kimoja (8.3) katika IMDB, lakini ukiniambia nichague ipi kali kati ya hizo mbili, wala sifikirii mara mbili, Lost ni kali, tena kali haswa, Money Heist chamtoto kabisa mbele ya Lost. IMDB kwangu bado ni credible source katika kuchagua TV series au Movie ya kuangalia, sababu hata hiyo Money Heist nilianza kuifuatilia baada ya kuicheki reviews zake kwa IMDB.

Sijui umenielewa mkongwe!?
 
Ukiondoa documentaries, GOT ipo katika top 10 mzee. Kwanza bado ni makosa kuzitaja GOT na Money Heist katika sentensi moja, yaani hapo ni sawasawa na kuwataja Eminem na 6ix9ine katika sentensi moja, kwasababu tu 6ix9ine amevunja rekodi iliyowekwa na Eminem katika mtandao wa YouTube.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapana huwezi ukatoa documentaries maana Documentaries ni series pia na iyo IMBd yako imeiona haina nafasi humo na sio bora kuliko Chernobyl 🀣.
Tatizo umeona umekosa majibu ya maswali yangu ndio unaleta mifano ya wasanii hata uyo Eminem akiwa anatoa albamu watu wanaishusha faster that why album zake nyingi zinafikaga Platnum.... Haya twende kwa mauzo izo series zako za IMBd zenye rate kubwa ambayo hayo maoni yanatolewa na users wa IMDb tu na sio dunia nzima zimewafunika Money heist na The Game of Thrones? Najua huwezi kujibu hapaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Unaleta habari za viewers wa YouTube ambao ukileta kiki watu wanaview video yako....Kama series za Money heist na The game of thrones zina kiki na sio nzuri au zina story mbaya sasa inakuwaje zianauzika na kupendwa na watu wote kama contents mbovu? πŸ˜‚πŸ˜‚
Au kama tuseme Netflix inaipa kiki sana mbona Netflix ina series kibao na hazipendwi kama jinsi money heist inavyopendwa na kusubiriwa kwa hamu?

NOTE KITU HAPA MIMI NAZUNGUMZIA MAONI YA WATU YA DUNIA NZIMA WEWE UNAONGELEA MAONI YAKO BINAFSI NA KUAMINI IMBD AMBAYO HATA IYO INAKUCHANGANYA NA KULETA MIFANO YA WANAMUZIKI BADALA YA SERIES KWELI UMECHEMSHA MKONGWE πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilikuwa na hisia kuwa unaweza kutumia hoja ya kuwataja wanamuziki KUKIMBIA, mimi nimekutajia wanamuziki nikiamini labda itakusaidia kuelewa πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anyways, mjomba hiyo Money Heist bado sana kuingia kwenye mjadara wa G.O.A.T TV series, yaani bado sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mzee, wewe ndio ambaye unatoka kwenye mstari. Hoja yangu ilianza kwa kumwambia jamaa mmoja hapo juu, kuwa siku hizi siwezi kucheki TV series bila kupitia reviews za IMDB, wewe ukaipinga hii hoja kwa kusema hawa jamaa washawahi kukupeleka chaka. Mimi nakwambia kwangu hawajawahi kukosea, pia hata top ten ya series kali kuwahi kutokea hawajaikosea. Pia sijakuambia kuwa Lost ipo katika top ten ya series kali za muda wote aisee, acha kunilisha maneno. Mimi nimekwambia ninaamini Lost ni kali kuliko Money Heist ingawa haipo katika hiyo list ya series zinazoongoza kwa kutazamwa zaidi duniani. Yaani nimetaja Lost nikiwa ninamaanisha kuwa bado zipo series kali ambazo hazipo katika hiyo list uliyoiweka, lakini series hizo ukilinganisha na Money Heist, Money Heist inakuwa ni takataka kabisa. Pia najua kama Lost na Money Heist zina rates kiwango kimoja (8.3) katika IMDB, lakini ukiniambia nichague ipi kali kati ya hizo mbili, wala sifikirii mara mbili, Lost ni kali, tena kali haswa, Money Heist chamtoto kabisa mbele ya Lost. IMDB kwangu bado ni credible source katika kuchagua TV series au Movie ya kuangalia, sababu hata hiyo Money Heist nilianza kuifuatilia baada ya kuicheki reviews zake kwa IMDB.

Sijui umenielewa mkongwe!?
Upo sawa ila utata ukaja kwa kusema Money heist na Game of Thrones hazipo kwenye top 10 ya iyo kitu ila kuna Chernobyl ambayo ipo humo na ni bora so sio sources bora maana hata watu kwenye industries za movies hawaamini izo sources kwamba hayo maoni ya users wa IMDb sio valid na wana upeo upi kwamfano that why unaiona Chernobyl ipo ina rate za juu kuliko hata The game of thrones? Kweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema tufanye yaishe mtu wangu maana mimi naongelea jinsi watu wanavyoipenda series flani sio mimi ila wewe unazungumzia wewe na sio IMBd ni source bora
 
Hapana huwezi ukatoa documentaries maana Documentaries ni series pia na iyo IMBd yako imeiona haina nafasi humo na sio bora kuliko Chernobyl 🀣.
Tatizo umeona umekosa majibu ya maswali yangu ndio unaleta mifano ya wasanii hata uyo Eminem akiwa anatoa albamu watu wanaishusha faster that why album zake nyingi zinafikaga Platnum.... Haya twende kwa mauzo izo series zako za IMBd zenye rate kubwa ambayo hayo maoni yanatolewa na users wa IMDb tu na sio dunia nzima zimewafunika Money heist na The Game of Thrones? Najua huwezi kujibu hapaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Unaleta habari za viewers wa YouTube ambao ukileta kiki watu wanaview video yako....Kama series za Money heist na The game of thrones zina kiki na sio nzuri au zina story mbaya sasa inakuwaje zianauzika na kupendwa na watu wote kama contents mbovu? πŸ˜‚πŸ˜‚
Au kama tuseme Netflix inaipa kiki sana mbona Netflix ina series kibao na hazipendwi kama jinsi money heist inavyopendwa na kusubiriwa kwa hamu?

NOTE KITU HAPA MIMI NAZUNGUMZIA MAONI YA WATU YA DUNIA NZIMA WEWE UNAONGELEA MAONI YAKO BINAFSI NA KUAMINI IMBD AMBAYO HATA IYO INAKUCHANGANYA NA KULETA MIFANO YA WANAMUZIKI BADALA YA SERIES KWELI UMECHEMSHA MKONGWE πŸ˜‚πŸ˜‚
Bado unaziweka GOT na Money Heist katika sentensi moja!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha mzee, acha, acha kabisa!
 
Upo sawa ila utata ukaja kwa kusema Money heist na Game of Thrones hazipo kwenye top 10 ya iyo kitu ila kuna Chernobyl ambayo ipo humo na ni bora so sio sources bora maana hata watu kwenye industries za movies hawaamini izo sources kwamba hayo maoni ya users wa IMDb sio valid na wana upeo upi kwamfano that why unaiona Chernobyl ipo ina rate za juu kuliko hata The game of thrones? Kweli? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema tufanye yaishe mtu wangu maana mimi naongelea jinsi watu wanavyoipenda series flani sio mimi ila wewe unazungumzia wewe na sio IMBd ni source bora
Mjomba, umeitazama Chernobyl lakini?
Kama umeitazama, ungejua imewezaje kuipita GOT katika hizo ratings za IMDB.
 
Nilikuwa na hisia kuwa unaweza kutumia hoja ya kuwataja wanamuziki KUKIMBIA, mimi nimekutajia wanamuziki nikiamini labda itakusaidia kuelewa πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anyways, mjomba hiyo Money Heist bado sana kuingia kwenye mjadara wa G.O.A.T TV series, yaani bado sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wasanii wanatokana na kubadilika kwa style ya muziki ndio kipindi cha hip-hop walikuwa wanatamba hawa Asa iv kuna trap kuna singeli so huwezi kucompare kama movies.
Hayo ni mawazo yako kwamba Chernobyl ni bora kuliko Money heist na ipo kwenye G.O.A.T ila sio mawazo ya dunia nzima na records zilizowekwa maana huwezi ukashawishi Dunia kupenda kitu fulani kutoka kwa mawazo yako
 
Mjomba, umeitazama Chernobyl lakini?
Kama umeitazama, ungejua imewezaje kuipita GOT katika hizo ratings za IMDB.
Hayo maoni yako kaka ila sio maoni ya watu maana nikikuuliza kwa lipi unaipa rate Chernobyl kuliko GOT? Utaishia kwangu mimi kwangu mimi tu 🀣🀣🀣
Huna facts
 
Naifuatilia sana hii Money Heist, na nasubiri kwa hamu itoke. Yaani ni kama vile ambavyo namkubali sana J.Cole, lakini akijitokeza tu mtu hadharani na kusema J.Cole ni mkali kuliko EMINEM lazima nimkatae.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio ivo ivo hata wanaotoa rate IMBd ni mashabiki hakuna prove ni wasomi so wakiipenda Chernobyl au the wire na wakaichukia GOT au wapenzi loyal wa 24 ni sawa maana ni maoni ila sio kweli
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ YES MONEY HEIST NI KALI KULIKO THE WIRE, acha acha acha kabisa mkongwe!!!
Naona Breaking Bad ipo nafasi ya 19 katika hiyo list πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Stranger Things namba 2.
Mzee hii Money Heist ni series ya kawaida sana kulinganisha Breaking Bad, Chernobyl au The Wire. Ngoja nikuchekeshe zaidi, hii Money Heist haiifikii hata Lost, ingawa Lost haipo katika hiyo list ya TV shows zilizowahi kutazamwa zaidi ila bado ukiziweka pamoja hiyo Lost inashinda asubuhi na mapema (kwa wanaojua contents and quality lakini).
Mjomba kwa huu mtazamo wako, nafikiri haushindwi kusema Drake ni mwana Hip Hop bora kushinda Kendrick Lamar. Populality and quality are different terms Broh.
I hope paragraph ya kwanza umejifunza hao IMBd ni utumbo mtupu maana ndio list yao 🀣🀣🀣🀣 mbona utaelewa tu
 
Si IMBd wameipa Chernobyl na the wire rate kubwa kwa mujibu wa IMBd na kuitoa Game of Thrones au nimekosea? 🀣 🀣🀣
Acha utoto mkongwe, IMDB wameitoaje GOT? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
GOT ina ratings ya 9.2, The Wire na Chernobyl zote zina ratings ya 9.3.
Ndio maana nimekwambia bado ni kosa kuzitaja Money Heist na GOT katika sentensi moja, haifai.
 
Embu soma vizuri na unaongelea kategory ipi maana nimekupa hadi screenshot kwenye highest rated tv shows of all time haipo kwenye top 10 na most watched TV shows of all time ina rank nyingine.
Sasa mtoto nani mkongwe hapo mimi au IMBd? 🀣🀣🀣
 
Acha utoto mkongwe, IMDB wameitoaje GOT? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
GOT ina ratings ya 9.2, The Wire na Chernobyl zote zina ratings ya 9.3.
Ndio maana nimekwambia bado ni kosa kuzitaja Money Heist na GOT katika sentensi moja, haifai.
Embu soma vizuri na unaongelea kategory ipi maana nimekupa hadi screenshot kwenye highest rated tv shows of all time haipo kwenye top 10 na most watched TV shows of all time ina rank nyingine.
Sasa mtoto nani mkongwe hapo mimi au IMBd? 🀣🀣🀣
 
I hope paragraph ya kwanza umejifunza hao IMBd ni utumbo mtupu maana ndio list yao 🀣🀣🀣🀣 mbona utaelewa tu
IMBD ni utumbo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tumalize nusu ya huu mjadara, niwekee vyanzo unavyoviamini wewe, ambavyo vinaonesha Money Heist ipo katika walau series 15 bora kuwahi kutengenezwa, maana nikikuambia 10 nitakuwa nakuonea.
 
Wewe ndio wale Fanboys ambao hata muambiwaje hamuelewi siwezi poteza mda maana nkikutajia series hapa utaenda kutoa statistics zako za kipuuzi huko kwenye web
Wewe ndio umetoa maoni ya kipuuzi kwenye websites yenye maoni ya mtu.
Na nikakuona mtoto kwa kuuliza swali baada ya kupost screenshot isiyo na mashiko ikionyesha mtu anaikosoa money heist that why nikakuuliza je kuna series yoyote haijawahi kupondwa au kukosolewa na mtu? Hujanipa jibu sasa funboy nani hapo mimi au wewe?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Embu soma vizuri na unaongelea kategory ipi maana nimekupa hadi screenshot kwenye highest rated tv shows of all time haipo kwenye top 10 na most watched TV shows of all time ina rank nyingine.
Sasa mtoto nani mkongwe hapo mimi au IMBd? 🀣🀣🀣
IMDB wamehusisha na documentaries, ukitoa documentaries GOT ipo katika top 10, mbona unakaza fuvu mzee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Money Heist yako unayoipigania ukiondoa hizo documentaries inakuwa wapi?
 
IMBD ni utumbo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tumalize nusu ya huu mjadara, niwekee vyanzo unavyoviamini wewe, ambavyo vinaonesha money Heist ipo katika series walau 15 kuwahi kutengenezwa, maana nikikuambia 10 nitakuwa nakuonea.
Yeah ni utumbo coz hata wewe unashangaa most watched series of all time Breaking bad ipo chini 🀣🀣
Embu kabla sijakutajia niambie series bora kuwahi kutengenezwa ina sifa zipi? Maana hujui uanchosimamia na wala hujibu maswali yangu zaidi ya kusema kwangu mimi kwangu mimi 🀣🀣🀣
 
Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom