Eti kwakuwa 6ix9ine kavunja record ya Eminem tuseme 6ix9ine ni bora?



Eti huu ni mfano kweli wakati Eminem kauza sana Platnum, huyo 6ix9ine hajauza kama Eminem wala hana tuzo hata ya ngoma moja moja na Eminem alafu unawaweka sehemu moja hii ni mfano na uwezo wako wa kufikiri umefikia hapa. Hiyo ndio maana ya Eminem kuwa bora utakuwaje bora wakati contents za nyimbo zako haziuzi? Siku anatoa album watu wanakuwa attention sasa mfano huu una tofauti gani kati ya Money heist na Game of Thrones kuwa bora?
Eti popularity utakuwaje popularity wakati una series yenye story mbovu?
Tuambie kama wanafanya kiki ili series ziwe hadi kufuatiliwa na wengi tuambie kiki gani? ----- Huwezi jibu hapa


Sijui kama unasoma hoja zako mzee wa kwangu mimi kwangu mimi wewe ni nani? Ni mshabiki tu anayependa kitu fulani