Series (Special thread)

Check channel ya telegram hii hapa
 
Wakuu kwa sasa hakuna series mpya yenye maudhui,ya kipelelezi na action?,kama ipo msaada
 
Homeland imefakisha kinoma sijui nani huyo aliniponza mpaka nikai download kwa kuniambia inafanana na 24

Dem malaya anapigwa mashine hadi na vktoto afu eti jathusi na ndo starring, kifo cha broddy kilikua kama maigizo ndani ya igizo kumbe ndio ukweli kafa mazima na haonekani tena mpaka series inaisha
 

Wenzio wanaekaga alama Ya Spoiler Alert

Kama unaelezea details za ndani kabisa za Movie kuna watu hawajaona huko unatoa radha
 
Ukiangalia series kwa kuilinganisha na nyingine hutoangalia series mzee maana zina story tofauti na nina imani huyo jamaa alikwambia uangalie coz zote zinadeal na ujasusi na kuhusu demu kugongwa iyo ni kawaida maana ni jasusi na anajenga uhusiano wa kimwili kupata infoz au mambo mengine yaendelee....Tuseme hujaipenda iyo series ila ni nzuri mzee
 
Airtel kwenye simu hua ina crash sana, kuna siku niliweka night pack enzi zile lilikua linaanzia saa 5. Nikafungua torrent na ku resume downloads kisha nikaiacha mi nikalala zangu, ile naamka asubuhi kucheki nakuta iko vile vile.

Ikanibidi nicheki salio nikakuta kuna GB 9.5 (airtel wanakawaida ya kutoa 24hrs kwenye bundle la usiku) nikajilaumu sana nikasema usiku wa leo nakomaa nao mpaka morinie tena napiga chini simu natumia router, sio siri nilifaidi bando langu siku ile
 
Homeland ni nzuri ila siiweki katika viwango vya series bora za muda wote. Kama tunai categorize kwa kufuata good better and best, basi homeland ni good

nikiwa namaanisha kua cypher, 24, lupin nk are the best
 
Homeland ni nzuri ila siiweki katika viwango vya series bora za muda wote. Kama tunai categorize kwa kufuata good better and best, basi homeland ni good

nikiwa namaanisha kua cypher, 24, lupin nk are the best
Haya ni mawazo yako man na ni series ulizozipenda so sikupingi kwa ilo maana naheshimu maoni ya mtu na sio kila maoni yana mashiko ukitaka kujua ilo wewe nenda kagoogle alafu uje unipe list za best tv shows of all time ndio utajua upo wrong kinoma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…