Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Yah man sema ni kwa waelewa tuUnajua hili neno "mzee" linaswaga kichiz sema maraia hawaelewi tu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Yah man sema ni kwa waelewa tuUnajua hili neno "mzee" linaswaga kichiz sema maraia hawaelewi tu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Yah imetoka hadi episode ya 9wenzangu wa blacklist tujuane tafadhali...mzigo upo season 8... niliishia episode 6. vp zimetoka nyingne?
Shusha tu mzee itapendeza mbeleniWakuu mlioangalia tribe of europa vipi iko guud tupakue
Uko poa sanaWakuu mlioangalia tribe of europa vipi iko guud tupakue
Shusha mzigo huo uko njema......Ukisikia la casa de Papel ndo hiyoKwa anayejua MONEY HEIST vp iko poa wadau. Nataka niipakue
Queen Latipha huyo, sema nili-underate hii series baada ya kuona imekua acted na mwanamke wakati OG muvi kaect mtabe DenzeKuna hii equalizer series kama uliikubali equalizer movie ya Denzel Washington ila humu kacheza mother mmoja kibonge ebony anapikaga fast baraa japo bado kufika sayari za kina Denzel Ukipata muda pita nayo nimemaliza episode 1 iko poa
Aise ni balaa ba nusu mkuu sema episode ndo ziko chache sanaWakuu mlioangalia tribe of europa vipi iko guud tupakue
Power wanataka iendele mpaka Book 3 kitu ambacho wataboa kingine waje na ngonjera kua Ghost hakufa hapo ndio wataboa mpaka basi
Mkuu hii sasa ni chai. Godfather of Harlem season 2 episode 1 itakuwa released 18 April 2021 na episode ya 2 itakuwa released 25 April 2021. Wewe unangalia kupitia wapi? wakati hata marekani wenyewe bado wanaisubiri.the Godfather of Harlem season 2 episode 2 now
😂😂😂ni April 18 nilikuwa nawa zoomMkuu hii sasa ni chai. Godfather of Harlem season 2 episode 1 itakuwa released 18 April 2021 na episode ya 2 itakuwa released 25 April 2021. Wewe unangalia kupitia wapi? wakati hata marekani wenyewe bado wanaisubiri.
Ilikua discontinuedmwenye link ya series inaitwa traveler (2007) msaada tafadhali