Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mzigo wa leo huu
Screenshot_20210215-222619_1614008137434.jpg
 
Nimepita ku-zoom series gani kwa sasa yenye mlengwa kama Peaky blinders inayobamba nikaitazame.

Ni muda mrefu sasa sijafatilia series yeyote itakuwa uzee umeanza kunikamata.
 
Niliiona movie yake kumbe Kuna series
Snowpiecer... Moja ya series nzuri sana

Inahusu maisha ya baadae kunatokea na baridi kali duniani, hivyo kufanya watu kukosa makazi ya kuishi,wakati baridi kali hilo linatokea kunatokea na Train moja kubwa sana ambayo inazunguka dunia, so ili ujisalimishe na baridi hiko inakubidi upande hiyo Train inayozunguka duniani, na ndani ya Train hiyo kuna classes za maisha, kuna low life, medium hadi high life ndani ya hiyo hiyo Train...

Wakati Train hiyo ikiendelea kuzunguka dunia na baridi likizidi kuwa kali, ndani ya Train hiyo yanaanza kutokea mauji ya watu mbalimbali hivyo inapelekea mmiliki wa Train hiyo ambaye ni mwanamama kutafuta detective wa kuchunguza vifo vya watu hao,,,kwenye hiyo Train detective anapatika kwenye low class...

Hadi sasa mzigo uko na season 1 complete, na season 2 ndio ipo ongoing...

Moja ya series nzuri sana, Hii Snowpiecer miaka ya nyuma huko walishawahi kutoa movie yake nayo inaitwa hivyo hivyo Snowpiecer ya Christ Evans!!
 
Power zipo Book II,III and IV
Ambayo book II inahusu maisha ambayo Tariq anasurvive mtaani na nyingine itamuhusu maisha ya Ghost & Tommy ya utotoni hadi kufikia hapo na nyingine itamuhusu maisha ya Tommy pekee baada ya ghost kufa ana survive vipi mtaani so ni mwendo wa kuenjoy tu Ghost

Wanataka kupiga pesa tu hapa hawana jipya wakaona watu Power 2014 wameikubali sana wameona muda wa kula faida zaidi na ndio watakuja Kuboa ni kama Breaking bad movie “El Camono” inaelezea yule Jesse pinkman waliboa ile movie mpaka basi
 
Kupiga hela sawa maana hakuna tv shows inaonyeshwa kwa lengo la kutopata pesa ila power 2014 haikuisha kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri kuna vitu vingi vilikuwa bado na kuhusu kubore kama breaking bad sio kweli maana book II ni noma mzee
 
El camino umeiona.??? Breaking bad ilitakiwa iishie pale ilipoishia na Power ilitakiwa iishie pale Sasa Nataka nikuambia series ambazo zinatakiwa muendelezo ni ishu za narcotic kutoka kwa Pablo kufa kwakwe ku raise Cali cartel—->>Mexico Drugs Cartel in 80’s-90’s—>> Mexico Drugs cartels Wars sasa haya ndo mambo ambazo muendelezo wake ujaboa hii kitu ndio unaikuta Narcos—-Narcos Mexico .........
 
Power wanataka iendele mpaka Book 3 kitu ambacho wataboa kingine waje na ngonjera kua Ghost hakufa hapo ndio wataboa mpaka basi
 
El camino umeiona.??? Breaking bad ilitakiwa iishie pale ilipoishia na Power ilitakiwa iishie pale Sasa Nataka nikuambia series ambazo zinatakiwa muendelezo ni ishu za narcotic kutoka kwa Pablo kufa kwakwe ku raise Cali cartel—->>Mexico Drugs Cartel in 80’s-90’s—>> Mexico Drugs cartels Wars sasa haya ndo mambo ambazo muendelezo wake ujaboa hii kitu ndio unaikuta Narcos—-Narcos Mexico .........
Duh! Basi hujazielewa vizuri breaking bad haiwezi kuishia pale mzee kwasababu maisha ya yule dogo jesse hatujui amesurvive vipi na je, yule rafiki yake walter aliwapa hela familia yake au asije akawadhulumu kama alivyodhulumiwa yeye kwenye ile project ya pamoja? Sema wakaja kutoa el camino ikaja na story mbovu balaa.
Ukija power huwezi ukasema imeishia pale maana tusingejua kesi ya kumuua The ghost imeisha vipi?, Tommy ana kisasi na mkewe Ghost kwa kumuua demu wake Lakisha je atalipiza kisasi au la? Mkewe Ghost Tasha pia atatokaje jela? Tariq kapewa urithi ila kaambiwa mpaka afike chuo na apige GPA kubwa je atafanikiwa kwenye ilo wakati anataka kufanikiwa kwenye uuzaji wa drug dealer kama baba yake? Unamkumbuka cooper ana kisasi na Tasha pamoja na tommy je atafanikiwa kuwafunga au yeye kufungwa maana alikwenda kumuua Ghost? Maisha ya Tommy himself baada Ghost kufa yakoje na ukumbuke ana mabeef kibao huyu jamaa?
So kwa maswali hayo huwezi kuniambia eti Power hahiitaji muendelezo mzee hayo mengine tunasema ni mawazo yako tu maana Power II imetoka haijaniangusha hata kidogo.
Kuhusu Narcos sijaangalia coz imepondwa na watu wa Colombia kwamba yale sio maisha ya Pablo mwenyewe so nikaipotezea na kuangalia Narcos Mexico ambazo hizi ni story ya maisha ya watu na sio hadithi ya kutungwa kama breaking bad na power
 
Im talking about el camino waliboa anyway Power naomba hiyo June wakamalizie vipande vilivobaki ila sijui maisha ya 50cents sijui Tommy huko mbele yataniboa wacha tusubiri..Narcos nzuri sana kasome kitabu cha Mtoto wa Pablo ndio utizame
n.b mimi sio we mzee. We baba umeniita mzee oooh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom