Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Basi uliza kwanza mzee au utakuwa hujaangalia vizuri mwisho wa power yenyewe waliweka wazi kabisa izo chapter zinahusu nini? Na hizi chapter hazipo 3 mzee labda unaongelea power nyinginePower wanataka iendele mpaka Book 3 kitu ambacho wataboa kingine waje na ngonjera kua Ghost hakufa hapo ndio wataboa mpaka basi

.haki sawa kwa wote

