Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii breaking bad naitafutia time niichk coz inasifiwa mnoo, hadi uy
Hii breaking bad naitafutia time niichk coz inasifiwa mnoo, hadi unataka kuirudia mzee
Ndugu hii ndio season kalii kiliko zote duniani kule IMDb ina rate 9.5 game of throne aiifikii kwa uzuri hata kidogo breaking bad ni yamoto sana
 
Hiv hii commandos ni mzigo mkali mkuu?
Ni nzuri kwenye upande wa story maana kilikuwa kikundi cha makomandoo waliopewa kazi ya kwenda kumuokoa kiongozi wa Nigeria aliyetekwa na boko haram sasa kufika huko wanamkuta uyo kiongozi yupo free na anamkamata mateka wa kike akambake, sasa wanataka wamuue uyo kiongozi na wanajeshi wa boko haram ila si unajua wajeda wanatii amri so wanaamua wamchukue uyo kiongozi katika harakati za kuondoka nae uyo kiongozi wanatokea wasichana hawazidi watano wanaomba wawaokoe so katika iyo mishe wanatafuta mishe ya kupata usafiri ila wakiwapigia watu wao hawapatikani so wanatembea jangwani umbali mrefu bila chakula wala maji baada ya maji kuwafika shingoni so wanaamua kuwapigia wamarekani kwa ajili ya msaada na amri inatoka toka uongozi wa jeshi la Marekani kwamba wanatakiwa wawabebe wanajeshi na uyo kiongozi tu na sio hao wasichana so kitendo iko kiliwauma wanajeshi hao kwa kuwaacha hao watoto jangwani peke yao so mmoja wapo wa hao wanajeshi akaanza kupanga njama za kuwaua wenzake na uyo kiongozi coz anaamini wamewaua hao wasichana ila dhumuni la kuwaacha hao wasichana ni kwamba waliwatambua hao si jeshi la wamarekani bali ni waholanzi na pia wakifika Nigeria watatoa siri ya uyo kiongozi ambaye atapandikizwa baadae na kuwa waziri mkuu ili awanufaishe wazungu
 
Dah inaonesha ni mzigo mkali sana mkuu. Ngoja nitaushusha
 
Mkubwa nisaidie link ya hii makitu asee. Cjaipata bado
 
February 24..
IMG_20210207_112050.jpg
 
Your honor
 
Attachments

  • Screenshot_2021-02-08-05-19-47-819_com.android.browser.jpg
    Screenshot_2021-02-08-05-19-47-819_com.android.browser.jpg
    188 KB · Views: 18
Wakuu kuna movie flani hivi

Watu wanakua na muda ambao watatumia kuishi kwenye mwili wao na unaonekana, pia unaweza kumwibia mwenzako muda wake.

Biashara kubwa ni ya muda, na watu wanauza muda wao ili wanunue vingine etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom