OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Na wewe unataka ukafiche?Hivi ni series gani vile jamaa alificha kisu kwenye mkund.u?
Mwanangu unafanya kazi voda au tigo au airtel au halotel ..maana unashusha vitu vya gb za kutosha, umetisha mzee
Kinoma mkuu..Tamu sana hii,
Aha kwa iyo nicheki hadi season 04 halafu niikatae si ndio mkuuNi nzuri angalau mpaka season 3 au 4 hivi itakua inakupa joto la kuangalia. Itaenda itakuchosha
Aha huu mzigo nikiona ila nikapotezea, unahusu nini mkuu nikashusheNaona humu haijatajwa the man from the high castle
Woyooooo hii ni balaa na nusu...mzee inatoka lini?Snowpiercer S2 ipo njiani...
Utaamua mwenyewe kama utaona bado inakuvutia au vipi. Kwani hujawahi kuangalia series ikakuboa ukaachana nayo tu iendelee na wewe unaendelee na mambo mengineAha kwa iyo nicheki hadi season 04 halafu niikatae si ndio mkuu?
Ingia kwenye hii search ingine yao 13377.xto Google halafu unafungua kuna option za movies, series, documentary, fungua hapo una click movie hiyo au series halafu itaenda moja kwa moja kweny utorrentNimeipata playstore mkuu ila namna ya kusachi movie ndo changamoto, naona kama hakuna option kama hyo
Gangs of London itaendelea??2021 nangojea muendelezo wa izi series
GANGS OF LONDON
MONEY HEIST
Poa poa nimekuelewa sana mkuu.Sikiliza wewe series ulizia inahusu nini then nenda youtube kaangalie trailer lake sio kusikia maneno ya mtu humu coz the blacklist ni bonge la series wewe download episodes angalia inakufaa au la maana hakuna series ina story kali kuliko zingine maana kila series ina story tofauti so ukiona mtu humu au popote anakwambia hakuna series kali kama sijui 24 au game of thrones uyo si muangaliaji series bali ni Mpenzi wa iyo series so anataka kukuaminisha na wewe uwe Ivo Ivo kama mwanaume au mwanamke anayeamini huyu Mpenzi wake ni mzuri wakati hajawaonja hao wengine.
So kila mtu ana vitu anavitaka viwepo kwenye series hapo ndo ikawekwa kitu kinaitwa Genres ili kila mtu aangalie akipendacho.
So ukiona mtu anakwambia hii series ni mbaya au msemo wa humu hii series imepooza muulize kilichopooza au ubaya wa iyo series ni nini? Utaona anatoa sababu ambazo hazina mashiko na kwa hili kuna watu wamebadilika humu wengine wapo vilevile so huwezi badilisha watu wote
Huu mzigo mimi sijauelewa kabisa ..naona chenga chenga tu ..em nipe story kidogo nione itakuwaje..Kuna hili dude linaitwa Yellowstone ni balaa, starring Kevin Costner .View attachment 1681986
Aah hapo ilikua halotel night pack mzee kabla hawajaanza kutufanyia undavaMwanangu unafanya kazi voda au tigo au airtel au halotel ..maana unashusha vitu vya gb za kutosha, umetisha mzeehapo kwenye gangs of London London babako hutojuta huo mzigo ji balaa na nusu.
Aina noma mkuu..ngoja weekend hii niitafutie mda nichekiUtaamua mwenyewe kama utaona bado inakuvutia au vipi. Kwani hujawahi kuangalia series ikakuboa ukaachana nayo tu iendelee na wewe unaendelee na mambo mengine
Hii homeland imekaaje mkuu, mzigo unahusu nini? Nataka niishuhe..Aah hapo ilikua halotel night pack mzee kabla hawajaanza kutufanyia undava
Hii gangs of london nimeiweka kiporo kwanza kutokana na kuto kamilika kwake so stimu inaweza ikachanganya halafu mzigo ukawa unakuja kwa kudevela
saizi niko homeland season 04 nikitoka hapo nakuja na hii gangs of london
Hii inavipengele vingi lakini ile kuu ni kuhusu operation za kijasusi CIA iko kama vile 24 japokua kuna utofauti kidogoHii homeland imekaaje mkuu, mzigo unahusu nini? Nataka niishuhe..
Gangs of London ni balaa na nusu mkuu ..hutojuta kabisa
Aah hapo ilikua halotel night pack mzee kabla hawajaanza kutufanyia undava
Hii gangs of london nimeiweka kiporo kwanza kutokana na kuto kamilika kwake so stimu inaweza ikachanganya halafu mzigo ukawa unakuja kwa kudevela
saizi niko homeland season 04 nikitoka hapo nakuja na hii gangs of london
Shukran mkuu, wacha nijaribuIngia kwenye hii search ingine yao 13377.xto Google halafu unafungua kuna option za movies, series, documentary, fungua hapo una click movie hiyo au series halafu itaenda moja kwa moja kweny utorrent
Homeland tamu kinyama mzee, hutojutia, ugaidi, mapenzi, siasa, kusalitiana vyote vimejaa humoHii homeland imekaaje mkuu, mzigo unahusu nini? Nataka niishuhe..
Gangs of London ni balaa na nusu mkuu ..hutojuta kabisa
Mumbwa wale wameweka GB5 bando halina stimu bora packages za day tu
Mkuu, kumbe Halotel night pack imeminywa hatimaye, nilikuwa sijui. Dah..ile ilikuwa ndiyo mkombodhi wangu. Dooh!
Mumbwa wale wameweka GB5 bando halina stimu bora packages za day tu