Series (Special thread)

Series (Special thread)

Napenda sana series za kichina na kikorea tena za mapanga na ngumi
Hizi ndizo top kwang na sijui kama nitapata kama hizi natafuta lakini wapi
1.God of war season 1
2.Six flying dragon
3.Heroes
4.Vengeance(japo huwa sipendi za town) ila hii ilinibamba kutokana na mkono wa hatari
5.The condor heroes
6.Evernight japo huwa sipend fantasy ila hii ni balaa
7.Jumong
Kama kuna mwenzangu na mie em niongezee ili niendelee ku enjoy maana sion season za kichina na kikorea kali

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Pablo si ndio nyota kwenye hii series inakuaje anakufa mapema hivyo halafu movie iendelee?
Pablo was not the only Drug Kingpin, alivoondoka waliibuka watu wengine, nasubiri season ingine ya Narcos Mexico, hii itafocus sana na huyu kiumbe anaitwa "Amado Carrilo Fuentes"
 
Inahusu nini?
Ina mhusu mzee wa Kirusi aliyekuwa Mafia miaka ya nyuma huko Urusi, baadae anahamia London na kuachana na ishu hizo, sasa kuna biashara zingine zinaendelea kufanyika ila kijana wake wa kiume mkubwa ndio anabaki kusimamia biashara zote..
Mwanae anakuja kugundua dili zote haramu za mshua, pia kuna magenge ya kirusi bado pia wanamfatilia mzee wake, kwa hyo dogo anapambana kuisave familia yake
 
Ahsante sana mambo yangu haya ya unafika tena warusi Wana roho mbaya sana
 
Napenda sana series za kichina na kikorea tena za mapanga na ngumi
Hizi ndizo top kwang na sijui kama nitapata kama hizi natafuta lakini wapi
1.God of war season 1
2.Six flying dragon
3.Heroes
4.Vengeance(japo huwa sipendi za town) ila hii ilinibamba kutokana na mkono wa hatari
5.The condor heroes
6.Evernight japo huwa sipend fantasy ila hii ni balaa
7.Jumong
Kama kuna mwenzangu na mie em niongezee ili niendelee ku enjoy maana sion season za kichina na kikorea kali

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mambo ya achecheeeeee....!! Mishaleeee
 
Mzigo mwingine huu hapa, umekamilika tayali season one complete
IMG_20210108_200932.jpg
 
Napenda sana series za kichina na kikorea tena za mapanga na ngumi
Hizi ndizo top kwang na sijui kama nitapata kama hizi natafuta lakini wapi
1.God of war season 1
2.Six flying dragon
3.Heroes
4.Vengeance(japo huwa sipendi za town) ila hii ilinibamba kutokana na mkono wa hatari
5.The condor heroes
6.Evernight japo huwa sipend fantasy ila hii ni balaa
7.Jumong
Kama kuna mwenzangu na mie em niongezee ili niendelee ku enjoy maana sion season za kichina na kikorea kali

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Land of wind
Emperor of the sea
Dockman
Princes Jamyung
General Ge Baek
100 day of my prince
King ngwangaeto
N.k

Sina uhakika na spelling but hapo mkorea katisha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom