rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,165
- 43,854
Me pia yaniiLast Kingdom kiukweli nmeshindwa kuielewa alieangalia yote anipe review kidogo.




Me pia yaniiLast Kingdom kiukweli nmeshindwa kuielewa alieangalia yote anipe review kidogo.




Wafilipino au???If loving you is wrong itakufaa
Nimeicheki hii season 1 imeishia episode ya 6 ? Niliyodownload telegram imeishia episode ya 6 kuna muendelezo au, ni nzuri kinomaWazee mbona sioni mkizungumzia hii kazi ya kwamadiba naona wanakuja juu sana kweny gameView attachment 1647295
Nushapata ya kupotezea mda kesho mjombaVIKINGS part two ya season 6...imetoka leo
mjombaa kumbe haya pia ni mambo yakoNushapata ya kupotezea mda kesho mjomba
Mjomba mjombaa si kwenye process za kubadirika mlito asiwe na mashaka na mimimjombaa kumbe haya pia ni mambo yako
Hahah hapo safi mjombaa,kwa mwendo huu hautaharbu tenaMjomba mjombaa si kwenye process za kubadirika mlito asiwe na mashaka na mimi
Mwakan na mm nazama miguu miwiliHahah hapo safi mjombaa,kwa mwendo huu hautaharbu tena
Hahahaha aisee, akija ataiona hiiMwakan na mm nazama miguu miwili
Acha uchocheziHahahaha aisee, akija ataiona hii
HahahAcha uchochezi
Ni nzuri?View attachment 1663375
Kuna huu mzigoo mr walter white wa breaking bad yumo ndani kama starring
Unateketeza bando unakutana na takataka. Jipoze na LONDON GANGS AU ZEROZERZERO uounguze hasiraAliyetaja series ya "American Vandal" shwain kabisa!Kuna watu wanataja series huku kukomoa wengine!
Poa mkuu!Huyo mwamba namsaka,kaniingiza cha kike ile mbaya!Unateketeza bando unakutana na takataka. Jipoze na LONDON GANGS AU ZEROZERZERO uounguze hasira
Hiyo inaitwa gangs of londonPoa mkuu!Huyo mwamba namsaka,kaniingiza cha kike ile mbaya!
Ok,ni nzuri?Hiyo inaitwa gangs of london