Series (Special thread)

Series (Special thread)

Pablo si ndio nyota kwenye hii series inakuaje anakufa mapema hivyo halafu movie iendelee?
Baada ya le patron au Don pablo pia waliibuka watabe wengine Kama kina cal cartel, hii siries imebase kwenye true story,
Netflix wanajaribu kusimulia biashara zaunga Kati ya amerika ya kusini kwenda marekani na Jinsi DEA walivyo kuwa wakidili nao
 
Inasimulia hadithi ya askari wa USA aliyeitwa David ambaye anatembelea familia ya Peterson bila kutarajia, akijitambulisha kama rafiki wa mtoto wao ambaye alikufa katika vita huko Afghanistan.
Baada ya kukaa nyumbani kwao kwa siku kadhaa, mfululizo wa vifo hutokea, na binti Anna (Monroe) anamhutumu David anahusuka na vifo hivyo.

Hii sio series......ni movie!
 
IMG_2582.jpg

Politics na game zake chafu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom