sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,645
- 8,735
NdioNauliza swali moja tu the oval ipo season moja tu?????
NdioNauliza swali moja tu the oval ipo season moja tu?????
Du utamua unajua then unakataNdio
Kweli mkuu, kama uliipenda 24 hutoacha kuipenda homeland ya Brody, nitajie nyingine kama hizi mkuu.Kama 24 uliipenda basi cheki Homeland!
Homeland ni habari nyingine mkuu, itafute hutojutia.24 niliipenda sana. Mpaak ikabidi niangalie na 24 Legacy aisee.
Ngoja nitatest homeland then nitasema
Wako wataalam wa movie/series wakiwemo mtandao wa IMDB wanaipa nyota za juu kabisa kama series bora kuwahi kutokea.Kwa wale wapenzi wa movie za the godfather, series hii ni yako.
Hii ni moja ya series bora kabisa za mafia, familia, saikolojia na drama.
The Sopranos View attachment 1642411
Hii movie ni nzuriKwa wale wapenzi wa movie za the godfather, series hii ni yako.
Hii ni moja ya series bora kabisa za mafia, familia, saikolojia na drama.
The Sopranos View attachment 1642411
Hahah nimelicheki sana hili dude. Google kisa chake utaelewa tuu. Mu kuelezea siwezagi aiseeeKuna dude linaitwa the Guest 2014 aliyelielewaga nani Eti maana mimi nliangalia kama mala 10 sijaelewa kitu ni bonge la Action.View attachment 1642607
Icheki, VikingsAnayejua season yoyote yenye maudhui kama ya the last kingdom,, mambo ya kuchezea sword na movie za kifalme falme napenda sana. Ila zisiwe za kichina au kikorea
Breaking bad,Ozark ,Sherlock holmesWakuuu nahitaji series nzuri kama yenye maudhui ya money heist
Inasimulia hadithi ya askari wa USA aliyeitwa David ambaye anatembelea familia ya Peterson bila kutarajia, akijitambulisha kama rafiki wa mtoto wao ambaye alikufa katika vita huko Afghanistan.Kuna dude linaitwa the Guest 2014 aliyelielewaga nani Eti maana mimi nliangalia kama mala 10 sijaelewa kitu ni bonge la Action.View attachment 1642607
Hii ndiyo siries pekee ambayo nimewahi kuiangalia ambayo ukimiss hata episode moja huwezi kuielewa vizuri mbeleni bila season 1&2 utaielewaje ya 3 sasaNiko ukingoni kuimalizia Breaking bad season now niko s05 e03
Iko vizuri sana kuanzia season ya 3 mwishoni ila 1&2 michosho
Daaah hizo season za nyuma nimezivuka kibishi sana bila mikazo ningeibwagaHii ndiyo siries pekee ambayo nimewahi kuiangalia ambayo ukimiss hata episode moja huwezi kuielewa vizuri mbeleni bila season 1&2 utaielewaje ya 3 sasa
Narcos iko vizuri SanaDaaah hizo season za nyuma nimezivuka kibishi sana bila mikazo ningeibwaga
Hapa nilikua na review top rated series ya kuanza nayo baada ya kuimaliza br bad. Narcos nimeiweka kiporo kwanza
Pablo si ndio nyota kwenye hii series inakuaje anakufa mapema hivyo halafu movie iendelee?Narcos iko vizuri Sana
Nimeangalia season 2 tu
Baada ya pablo kufa season ya pili niliona haina umuhimu wa kuiangalia
Mimi nilikuwa ntaangalia hizi za tyler perry,
Niliamaliza 'Oval' nikaja 'sistas'
Sasa Niko na if loving you is wrong episode 2