Series (Special thread)

.hahahaha mjomba umeangalia ad season ya ngap ile jiwe mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu hajui kiingereza wew unabishana nae wa nin mzee wakati kashazoea series za kuanza tu watu wanarusha mikuki na ngumi juu.
Check kipande iko cha The place is under new management (Peaky Blinders)

Your browser is not able to display this video.
 
Attachments

  • VID-20200328-WA0328.mp4
    7.7 MB
started stranger things yesterday, finally o_o
glad to watch it after all the hype calmed down a little, you know
nice series i should say
finished season 1 in one go
 
started stranger things yesterday, finally o_o
glad to watch it after all the hype calmed down a little, you know
nice series i should say
finished season 1 in one go
kama umeipenda stranger things utaipenda na Dark season 1&2
 
Mtu hajui kiingereza wew unabishana nae wa nin mzee wakati kashazoea series za kuanza tu watu wanarusha mikuki na ngumi juu.
Check kipande iko cha The place is under new management (Peaky Blinders)

View attachment 1461660
Mkongwe.
Nimegundua mimi na wewe tunafanana katika aina ya series tunazozikubali, safi sana. Dark umeshaicheki?
 
Link tafadhali mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…