Series (Special thread)

Series (Special thread)

Sasa mkuu, Narcos inaonesha zaidi harakati za wauza madawa wale drug kingpins ili waendelee kuuza mizigo yao na harakati za law enforcement agencies plus military kuzuia hayo yasiendelee. At some point inaelezea matukio ambayo yaliwahi tokea mfano yanayomhusu Pablo.
Lakini breaking bad ina cover mambo mengi, siyo drugs peke yake. Yaani usiangalie breaking bad ukitegemea kuona vurugu kama za drugs related shows. Ukifanikiwa kuimaliza unakaribishwa tuendelee na better call Saul. (hii sasa ndo imepoa lkn ni kali sana)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ebu inyambue kidogo hiyo "better call Saul"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mimi sio mpenz wa series za kikorea nazo siziwezi ila hiyo series mnaipa sana promo kwa wazee wa movie tuiskia tunajua bonge la dude lakini bado ngoja niangalie season2 nisihukum mapema.na matukio hayana uhalis mfano pale alipofata hela zake alizozulumiwa dogo anachukua punje moja anaitupa inalipuka kama bom mpaka meza zinatokea dirishani halafu yeye anatoka mzima na walokuwemo.
Hamna kitu mule,Breaking bad series gan bhana,bas tu kwa sbu ni ya zaman waliipenda kipindi hicho bas mpk leo badl unatuaminisha breakng bad,kiukweli najutia sana bando langu nililopoteza,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu mule,Breaking bad series gan bhana,bas tu kwa sbu ni ya zaman waliipenda kipindi hicho bas mpk leo badl unatuaminisha breakng bad,kiukweli najutia sana bando langu nililopoteza,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla hujaangalia Series na kucoment UPUPU inabidi ujue wewe unapenda Series/movie za Genre ipi...

Tatizo mmezoea Series za Sci-fi na Action, siku mkikutana na Drama au mystery VIPOVU vinawatoka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu mule,Breaking bad series gan bhana,bas tu kwa sbu ni ya zaman waliipenda kipindi hicho bas mpk leo badl unatuaminisha breakng bad,kiukweli najutia sana bando langu nililopoteza,

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshusha s2 dah nimepoteza bando langu naishia hapa siwezi kuvumilia hii ilikua nzur labda kipindi inatoka sio kwa sasa.
 
Sasa mkuu, Narcos inaonesha zaidi harakati za wauza madawa wale drug kingpins ili waendelee kuuza mizigo yao na harakati za law enforcement agencies plus military kuzuia hayo yasiendelee. At some point inaelezea matukio ambayo yaliwahi tokea mfano yanayomhusu Pablo.
Lakini breaking bad ina cover mambo mengi, siyo drugs peke yake. Yaani usiangalie breaking bad ukitegemea kuona vurugu kama za drugs related shows. Ukifanikiwa kuimaliza unakaribishwa tuendelee na better call Saul. (hii sasa ndo imepoa lkn ni kali sana)

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshusha gangs of London nikipata mda nitaicheki naona imetajwa humu
 
Nimeshusha s2 dah nimepoteza bando langu naishia hapa siwezi kuvumilia hii ilikua nzur labda kipindi inatoka sio kwa sasa.
I see..wewe unapenda za mchakamchaka mwazo mwisho..
Breaking bad..the wire na Game of thrones..ndizo series bora za muda wote dunia nzima kuliko za mchakamchaka Kama 24..prison break.. blacklist.. strike back..au the walking dead..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see..wewe unapenda za mchakamchaka mwazo mwisho..
Breaking bad..the wire na Game of thrones..ndizo series bora za muda wote dunia nzima kuliko za mchakamchaka Kama 24..prison break.. blacklist.. strike back..au the walking dead..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa PB ina mchamchaka kushinda GOT???? Sema tu PB haina computer sana aiseee...ila GOT kichapo kimejaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumblr_inline_pbd1l1tbKc1u36aox_540.gif

giphy.gif

ngoja tusubiri season 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom