Nakuomba sana endelea nayo kibishi lakini pia tazama kwa umakini..
Season 1umetambulishwa yafuatayo:
1. wahusika..mzee mwenyewe na kijana wake
2.wameanza kutengeneza madawa adimu Sana marekani (blue meth)
3.polisi wako makini wamegundua Kuna madawa aina mpya inayokubalika Sana marekani..wanaanza kutafuta mtandao wake..anayeongoza msako wa kimya kimya Ni shemeji mzee..(fatilia uone shemeji polisi anavyomsaka mme wa Dada yake bila kujua..pili mzee wa madawa atafanyajeje kumzima polisi-shemeji
4.umeanza kuona familia ikianza kuyumba kutokana na mwenendo wa mzee kujihusisha na wahuni..
Mbele Kuna mengi Sana huyu mzee alijikuta kwenye mtego mbaya Sana wa madawa (mauwaji..ubabe.kusakwa na polisi..kusakwa na wahuni hasa wa mexico..familia kuingia kwenye matatizo n.k
Endelea na breaking bad..ujifunze mambo mengi Sana
Sent using
Jamii Forums mobile app