Series (Special thread)

Series (Special thread)

tumblr_inline_pbd1l1tbKc1u36aox_540.gif

giphy.gif

ngoja tusubiri season 4
hii ni series gan mkuu?
 
Mkuu mimi sio mpenz wa series za kikorea nazo siziwezi ila hiyo series mnaipa sana promo kwa wazee wa movie tuiskia tunajua bonge la dude lakini bado ngoja niangalie season2 nisihukum mapema.na matukio hayana uhalis mfano pale alipofata hela zake alizozulumiwa dogo anachukua punje moja anaitupa inalipuka kama bom mpaka meza zinatokea dirishani halafu yeye anatoka mzima na walokuwemo.
Basi hata mfano huo huujui umetokeaje basi haina haja ya kubishana na wewe bado sana kwenye ulimwengu wa movie na series
 
Mkuu... Ozark ni hatari ile kitu,kuna siku uliiongelea hapa, nikasema Ozark imepoa, ukaniuliza imepoa kivipi? Mbona iko poa tu.... Juzi kati nmeanza nayo tena.. Sasa hivi nipo ya tatu... Yale mambo ya Kwenye Ozark ni uhalisia mtupu aisee... Ile familia ina balaa lake

Bonge la mzigo!!!
Safi mkuu series ni kutulia mzee na nashukuru umenielewa kwa kufuata ushauri wangu.... Ozark ni series haina ngumi ila drama zake si za kitoto
 
Peaky Blinders ni "kitu" mzee wa kazi. Ni moja kati ya TV Series kali kabisa nilizowahi kuzitazama.
Kweli mzee kama nilipoishia iyo seasons ya 3 mwishoni si kawachomesha ndugu zake wote kwa mapolisi so iyo ya 4 na 5 sijui itakuwaje aisee je watamchukia na kupanga kumuua au watakubaliana na plans zake?
 
List of TV series
01- Breaking Bad
02- Chernobyl
03- Dark
04- Dracula
05- Freud
06- Friends
07- Game of thrones
08- His Dark Materials
09- La casa de papel
10- Lucifer
11- Messiah
12- Narcos
13- Peaky Blinders
14- Ragnarok
15- Rick and Morty
16- See
17- Sherlock
18- Stranger Things
19- The 100
20- The English Game
21- The Morning Show
22- The Widow
23- The Witcher
24- The Spy
25- Vikings
26- Westworld
27- When they see us

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mwenye link ya Fauda s3 yenye subtitle ya kiinglish naiomba pls mana nakutana na Sub za ki-hebrew tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom