Series (Special thread)

Kwente list yako zote nimezicheki kasoro The handmaids tale, ozark, fago na The kilings.
Ongezea
Better call soul, ina actors wengi wa breaking bad, wametumia mjina na roles zilezile za kwenye breaking bad.

Picky blinders hii nimpya ila ishafika season 4 ukichek lazima uiweke kwenye top 3 zako


Sent using Jamii Forums mobile app

Better Call Saul is a Spinoff ya Breaking Bad


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mzigo mwingine huu hapa, bado mpya kabsa.. Ep 5 hadi sasa
images%20(44).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom