OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Mkuu umeanza kwa kuwa neutral hapo mbele umeonesha mahaba yako kwa 24Hatubishani,tunapeana nini kilichomo kwenye series ili basi kwa mtu ambaye hajatazama basi apate mwanga!
Turudi kwenye strike back,kama mtu anapenda kuona ni risasi tu mwanzo mwisho basi aangalie hiyo!Yaani unaangalia season 1 nzima,ni watu wako kwenye mission!Yaani hakuna cha maisha binafsi wala cha ndugu,ni kikundi tu kiko kwa ajili ya kwenda kupambana,haijabalance kabisa kati ya mapigano na story!So ninapotoa insight kama hizi,anayependa battle field bila story basi aangalie!
24 ni series imetoka kitambo,sio kwamba haina mapungufu!Inayo lakini haiwezi kuwa level moja na strike back,kitu kina season 8 na kila season inabeba episodes 24 isipokuwa ya mwisho lakini Zote za moto,huwezi kulinganisha na strike back yenye episodes 10 kwa season halafu unamaliza season nzima huoni ulichoangalia ni nini,hata kumuhadithia mtu huwezi maana ni mapambano ya risasi karibu 75% ya season nzima!


bandiko zima ni maneno maneno.Boss mtu ana relay on Wikipedia afu anakomaaaWapi hapo inaonyesha 24 is the best ever series zaidi ya kuchukua awards? Na ukitaka kuonyesha awards embu angalia Game of thrones hapo hapo Wikipedia na ukitaka kujua series hii ni bora angalia hadi waigizaji wameondoka na tuzo ngapi?
Na kwa taarifa yako series ambayo imevunja record iliyowekwa na series ya NYPD BLUE ya mwaka 1994 Ni game of thrones kwa kuwa na nominations nyingi kwenye final series ambayo ni 32 wakati NYPD blue ya 1994 ilifikisha 25 nominations. Haya nionyeshe hapo hapo kwenye Wikipedia 24 imefikisha hata nominations ngapi? So wewe baki na kauli yako kwamba 24 ni series bora kwako hatukatai na hakuna anayekupinga kwenye ilo bro.
Ubishi huu wote umekuja mtu kaja anaomba series yenye mission za kijasusi kapewa strike back kaenda kaja anaanza 24 ni bora kuliko strike back badala ya kusema mimi sijaipenda nipeni nyingine tungekupa hata THE BLACKLIST ya mtu mzima Raymond Reddington.
Narudi palepale series Ni kama demu wako wakati wewe unamuona mzuri wengine wanamuona mbaya tu
Daah, nimeingia chaka!Strike back hamna series humo!
Kuifananisha 24, Breaking bad au Homeland na hizo strike back ni kuzikosea adabu.
I am the action, controlled drugs n spy movies monger, but 24 siichoki. Quality ya picha c kitu kwangu, but story inayovutia.
Nimeangalia nyingi mno, Strike back, Power, Money heist, GOT, za kikorea, nk but still 24 n Breaking bad remain in my high ranked series!
Nairudia 24, nipo Season 2! Naenjoy vitu vya Ramon na Hector, bila kumsahau Nina Myer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama umeniingiza choo cha kike nisiseme?Naona wengine wengi tu humu walioona strike back wanakubaliana na mimi kuwa haina mvuto!Shida yako ni kuwa unaiponda 24 huku hujaingalia,hapo ndio nashindwa kukuelewa!Yaani unaenda kuangalia imekosolewaje halafu unakuja kubishana humu!Blacklist japokuwa matukio mengi yanajitegemea huwezi kulinganisha na strike back,kiufupi strike back imekosa stroy kabisaaaa!Wapi hapo inaonyesha 24 is the best ever series zaidi ya kuchukua awards? Na ukitaka kuonyesha awards embu angalia Game of thrones hapo hapo Wikipedia na ukitaka kujua series hii ni bora angalia hadi waigizaji wameondoka na tuzo ngapi?
Na kwa taarifa yako series ambayo imevunja record iliyowekwa na series ya NYPD BLUE ya mwaka 1994 Ni game of thrones kwa kuwa na nominations nyingi kwenye final series ambayo ni 32 wakati NYPD blue ya 1994 ilifikisha 25 nominations. Haya nionyeshe hapo hapo kwenye Wikipedia 24 imefikisha hata nominations ngapi? So wewe baki na kauli yako kwamba 24 ni series bora kwako hatukatai na hakuna anayekupinga kwenye ilo bro.
Ubishi huu wote umekuja mtu kaja anaomba series yenye mission za kijasusi kapewa strike back kaenda kaja anaanza 24 ni bora kuliko strike back badala ya kusema mimi sijaipenda nipeni nyingine tungekupa hata THE BLACKLIST ya mtu mzima Raymond Reddington.
Narudi palepale series Ni kama demu wako wakati wewe unamuona mzuri wengine wanamuona mbaya tu
Niliingia cha kike kudownload package nzima ya strike back kwa maneno ya kupewa humu jukwaani!Matokeo yake nimejuta!Mkuu umeanza kwa kuwa neutral hapo mbele umeonesha mahaba yako kwa 24bandiko zima ni maneno maneno.
Sijui unafanya makusudi kutonielewa au nini!Ninachosema kwa sasa kumeongezeka access ya kuzipata series kuliko zamani!Kwa sasa kuna smartphones na watu wengi zaidi wana access nazo kuliko miaka 15 iliyopita!Halafu naona unalinganisha kwa kutaja series kama Breaking bad na Game of thrones,hii ni wazi kuwa 24 ni kali ndio maana hulinganishi na series za chini kama strike back!Umeandika pumba man hivi ni mimi ndo ninayerank izo series man? Na viewers youtube nan kakwambia viewers wanapatikana youtube? Unazani izo ni kama nyimbo zenu za kibongo kwamba ubora unapatikana youtube? Alafu eti uuzwaji si sababu nani kakwambia watu wananunua vitu vibovu? Na kama ya series ya zamani huwezi fananisha ya sasa mbona breaking bad ni ya pili baada ya game of thrones?
Achana naye nimeapa sibishani nao tena hawajui so wapoteze tu hata wewBoss mtu ana relay on Wikipedia afu anakomaaa
Hii ndo comment sasa kwamba prison break ni series bora kwako na sio wengine sijui 24 ndo series bora kuliko zote alafu hauna facts
Jaribu Homeland!Anaejua series kali yenye story nzuri kama Vampire diaries au originals anisaidie please..nipo saivi dukani
note: GOT,24,strike back,money heist, prison break,breaking bad...nishaziona
Poa,thanksJaribu Homeland!
Sijui unafanya makusudi kutonielewa au nini!Ninachosema kwa sasa kumeongezeka access ya kuzipata series kuliko zamani!Kwa sasa kuna smartphones na watu wengi zaidi wana access nazo kuliko miaka 15 iliyopita!Halafu naona unalinganisha kwa kutaja series kama Breaking bad na Game of thrones,hii ni wazi kuwa 24 ni kali ndio maana hulinganishi na series za chini kama strike back!
Pamoja na ukongwe wa 24,nenda kaangalie downloads na views kule O2 tvseries,namba ziko juu sana kuliko series nyingi tu!Kama ndio ingekuwa imetoka sasa,dah nadhani ingekuwa namba 1!
ila sijui nini tu lakini mimi naiona 24 ya kawaida sana..hata blacklist ingekuwa na mlolongo wa matukio ingeizidi 24.Katika mengi ninayopenda 24.....sio series yenye ungonongono....nafikir katika series zote jack amefanha hykitu s08 nadhan.
Pili...japo jack alikiwa main actor lakin kwakweli njama za mule zilikuwa za juu sana kuliko uwezo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Kwahyo nicheki ipi sasa