Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,579
- 55,632
Season ya tatuGOT inaanza kuwa nzuri season or episode ipi? NB:sijaianzaga kamwe!
Season ya tatuGOT inaanza kuwa nzuri season or episode ipi? NB:sijaianzaga kamwe!
mkuu utaweza angalia banshee kweli weweImejaa ngono tuu mpaka Ushogaa..!! nkaona ya kipuuzi tuu...
Shida ni kwamba ukiangalia kuanzia s03 hautaelewa nini kilijiri season za nyuma mpaka kufikia hapoGOT inaanza kuwa nzuri season or episode ipi? NB:sijaianzaga kamwe!
Awezi uliuona yule mzee mafia alikula hadi mtoto wa dada ake sijui kneesmkuu utaweza angalia banshee kweli wewe
Hivi banshee ndo iliisha pale yule punga alivochukuliwa kwenye helicopter? Au iliendeleaAwezi uliuona yule mzee mafia alikula hadi mtoto wa dada ake sijui knees
Got kiukweli licha ya Ngono sikuipenda pia...coz nlikuwa sielewi hata mission ni ninii..!! Banshee ya action au??mkuu utaweza angalia banshee kweli wewe
Iliendelea sema yule punga ulikuja kua kauzu hatarHivi banshee ndo iliisha pale yule punga alivochukuliwa kwenye helicopter? Au iliendelea
Anh ile kitu ngoja niishushe tena leo nianze kuangalia tena asee ni tamu hatariHivi banshee ndo iliisha pale yule punga alivochukuliwa kwenye helicopter? Au iliendelea
Ipo hadi season ngapi maana niliiangalia kitamboIliendelea sema yule punga ulikuja kua kauzu hatar
GoT inahitaji utulivu sana mpaka uilewe, mimi ilinishinda zaidi ya mara 3 naishia kuangalia ep01 na 02. Nikapata mdau anaifuatilia ikiwa s03 ndo akaanza kunielewesha nkajikongoja hatimae nikauona utamu wakeGot kiukweli licha ya Ngono sikuipenda pia...coz nlikuwa sielewi hata mission ni ninii..!! Banshee ya action au??
GoT inahitaji utulivu sana mpaka uilewe, mimi ilinishinda zaidi ya mara 3 naishia kuangalia ep01 na 02. Nikapata mdau anaifuatilia ikiwa s03 ndo akaanza kunielewesha nkajikongoja hatimae nikauona utamu wake
Jitahidi tu kuiangalia uone visa vya akina LanisterLabda hapo mkuu...!!
Lanisters wapuuzi sana, kuua wageni siku ya wedding dah, huwa napenda kurudia rudia hii series ila hapo tu ndo huwa napafoward.

ila nilisikitika kakaake John Snow jina limenitoka alivyouwawa kwa sumu alivoenda kwenye ile kingdom nyingine na watu wake kuomba ushirikiano. Dah nilisikitika sanaOyaaAnh ile kitu ngoja niishushe tena leo nianze kuangalia tena asee ni tamu hatari
Nitumie namba yako PMOyaa
Robb Stark aisee wakati wa Red wedding. Kumbe Frey's house walikuwa washachonga na House Lanisters kuwamaliza mapema kabisa. Yule Wife wa Robb alivyotiwa visu vya tumbo hapo ana ujauzito daaah. Si mchezo, one of my sad scenes in GOT.ila nilisikitika kakaake John Snow jina limenitoka alivyouwawa kwa sumu alivoenda kwenye ile kingdom nyingine na watu wake kuomba ushirikiano. Dah nilisikitika sana
Yeah hiyo scene ilinisikitisha sanaRobb Stark aisee wakati wa Red wedding. Kumbe Frey's house walikuwa washachonga na House Lanisters kuwamaliza mapema kabisa. Yule Wife wa Robb alivyotiwa visu vya tumbo hapo ana ujauzito daaah. Si mchezo, one of my sad scenes in GOT.
Ndo maana ile scene Arya Stark anavyo revenge season 7 huwa nairudia rudia sana ha ha ha ha anamalizia na " when people ask you what happened here..., "TELL THEM THE NORTH REMEMBERS, TELL THEM WINTER CAME FOR HOUSE FREY"