kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,493
- 2,116
Mi sijaamini kama Dragon nae kafufuliwa aiseee,,itanogaNgoja nisubiri season 8 mwendo wa The Dead VS The Living.
Mi sijaamini kama Dragon nae kafufuliwa aiseee,,itanogaNgoja nisubiri season 8 mwendo wa The Dead VS The Living.
Noma sana itakuwa Ni mwendo wa Fire na Ice.Mi sijaamini kama Dragon nae kafufuliwa aiseee,,itanoga
Watakufa wengi tu naona litaisha kama muvi la kihindi..Ila GoT season 8 ikiwa finale season kuna characters wakubwa tutawapoteza
Dogo Arya atabaki yule mpka mwsho navoonaWatakufa wengi tu naona litaisha kama muvi la kihindi..
Ila yule dogo Arya atafika mbali
Kakatili balaaDogo Arya atabaki yule mpka mwsho navoona
Man with no faceKakatili balaa

OyaaMan with no face![]()
Hamna kitu mle,serious ya kikuda kuda tu mi naonaDuuh me nilishindwa kuielewa kabisaa toka mwanzo
Mkuu iyo tell me a story nilitaka niiache wale mashoga wa mwanzo wakati inaanza nikakomaa nayo kibishi aisee ni nzuri sana,ngoja nitafute na izo zingine,taste tunalingana mzee babaMsisahau kucheki
You are wanted
Tell me a story
Escape at Dannemora umalize mwaka vzr
Escape at Dannemora wamefika epsode ya ngap,,nimeishia tatuMsisahau kucheki
You are wanted
Tell me a story
Escape at Dannemora umalize mwaka vzr
Hamna kitu mle,serious ya kikuda kuda tu mi naona
Mwishoni kama walianza kupoteanaNaishusha THE LAST SHIP S1-S5 . Hivi mliowahi kuicheki , je sitajutia muda wangu?
Season ya ngapi sasa?wakuu mwenye link ya series hii msaada plz....if loving you is wrong