Season 5 nadhani..... Angie amefia mikononi mwa GHOST.... Tomy ndo amemuua.... Season itakayofata itakuwa uhasama kati ya Ghost vs TommyHivi power imeishia wapi?
arya anasema hiviYeah hiyo scene ilinisikitisha sana
Dogo Arya atabaki yule mpka mwsho navoona
Aiseee ndomaana napenda kuangalia hizi series tena zikiwa na subtitle, kuna sentensi zinafurahisha,kusisimua na hata kusikitishaarya anasema hivi
" may be I'm not pleasant man, I will admit it. but I'm proud of you lot. you are my family, the men who helped me slaughter the starks at the red wedding. cheer, brave men, all of you. butcher the woman pregnant with her baby. cut the throat o a mother of five, slaughtered your guests after inviting them into your home, but you didn't slaughter every one o the starks. no no that was your mistake. you should have ripped them all out, root and stem. LIVE ONE WOLF ALIVE AND THE SHEEP ARE NEVER SAFE
Ntaianza OzarkOZARK & CONDOR the best series of 2018 kabla mwaka haujaisha make sure umeanza angalau moja kati ya hizo mbili
Uamuzi sahihi sana! Hutojutia...Ntaianza Ozark
Aiseee ndomaana napenda kuangalia hizi series tena zikiwa na subtitle, kuna sentensi zinafurahisha,kusisimua na hata kusikitisha
Hatari sanamuna maneno mule, fikiria jon snow anapomwambia dragon queen. I mean no oence your garace but I don't know you. you claim to your fathers throne and my father fought side by side to over through the mad king.
Hii series nilikuwa nayo kitambo,nimeianza jana hee,hadi najionea wivu kwanini nimechelewa kuiona,hii kitu ni tamu balaa,ina majanga kama yote,sijajutia hadi nilipofikia..Aliyefatilia StartUp series?
Season 1 isikukatishe tamaa, Season 2 na kuendea uje ma mrejesho hapa!Baada ya kuona sifa na review nzuri za BREAKING BAD sasa nipo naishusha nzima nzima.
Kwengineko nimemaliza BRAVE, now napiga TITANS ya DC , kesho naanza najitulizia na SEAL TEAM SEASON 2.
Huku FANTASTIC BEASTS -2, ROBIN HOOD nazo zinanisubir
Wala usiwaze brother, leo nimeshusha S1-S4 , Kesho naimalizia S5 , lazima nirudi tu hapa.Season 1 isikukatishe tamaa, Season 2 na kuendea uje ma mrejesho hapa!
Breaking bad iko level za prison break mkuu..Breaking bad nilikuwa nayo nikaicheki mpaka episode 5 nikaona inanipa usingizi nikaiacha..
Baadae nikaona watu wanaisifia sana....nikawa nawashangaa sana.
Kupitia pitia humu napo nikaona mnaisifia sana.
Ngoja nikaipakue tena upya niicheki maana nilikuwa na mzigo wote nika-delete.
Mkuu kwa GOT ,the 100 itasubiri miaka buku..inaizidi The 100??
ha ha ngoja nianze kuicheki mdogo mdogo..Mkuu kwa GOT ,the 100 itasubiri miaka buku..
Yaani hata wangesema tuchange hata buku 20 ili GOT itoke 2018 mimi ningetoa hio pesa aiseeh..
Yaani the 100 ziwe buku ndo utapata utamu wa GOT 1
Kumbe seal team s2 imetoka...mwaka mpya ntajifungua ghetto nimalize mzigo wote..Baada ya kuona sifa na review nzuri za BREAKING BAD sasa nipo naishusha nzima nzima.
Kwengineko nimemaliza BRAVE, now napiga TITANS ya DC , kesho naanza najitulizia na SEAL TEAM SEASON 2.
Huku FANTASTIC BEASTS -2, ROBIN HOOD nazo zinanisubir
Seal Team season 2 imeishia December hii, kesho naishusha nzima nzima (internet ya ofisiKumbe seal team s2 imetoka...mwaka mpya ntajifungua ghetto nimalize mzigo wote..
Hio breaking bad angalia mkuu ni bonge la kitu