mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,141
- 3,452
kwa kipindi hiki naona hakuna series nzuri zinazotoka. wacha nipige movies kwanza
Usijidanganye kabisa. GOT ni the best series tangu kuumbwa kwa hii dunia.Umeongea ujinga mzeee... The 100 achana nayo kabisaaa...!! Hiyo GOT hakuna kitu paleeee... labda kama mtu alikuadithia kwanza ndo ukaenda kuiangaliaa... Ujingaa tu ulee na kale kajamaa kafupi series inaenda enda tuu...
GOT inatakawa watu wenye akili kubwa kuchanganua mambo mzee ile sio "Jumba la dhahabu" ama merlin..ukizoea series rahisi rahisi ambazo unaweza bashiri jambo litakalofata.Bhasi hutaiweza.Hii mambo inawenyewe na wenyewe ndio sisi
Pia kuna series zingine mwanzo zinaboa,hazieleweki,zimepoa sana ila mbeleni ni moto wa kuotea mbali mfano BREAKING BAD na 24
kwa kipindi hiki naona hakuna series nzuri zinazotoka. wacha nipige movies kwanza
Condor kali sana icheki.. ngoja na mm niishushe Ozarkozark kali sana...
hii condor itabidi niishushe sasa
Inahusu nini hii seriesNo Easy Day,,hii pia iko njema sana
haina noma mkuu
Moja ya series ambazo zinaboa sana unapoanza kuzingalia ni GoT na Breaking Bad... yaani ni kama parachichi vile! Hizi zote unatakiwa kuwa na roho ngumu kuangalia episodes za awali!Siwezi kukaa naangalia series Episode moja mara mbili kisa tu niilewe... Huo muda sinaaa...!!
The 100 now hata me nimeipotezea naona imeanza machenga chenga mkuu kiukweli... Ila zile season za mwanzo aisee acha kabisa... Kina Octavia kule porinii ule mziki mwingne...
Moja ya series ambazo zinaboa sana unapoanza kuzingalia ni GoT na Breaking Bad... yaani ni kama parachichi vile! Hizi zote unatakiwa kuwa na roho ngumu kuangalia episodes za awali!
Kwa bahati mbaya sana, huwezi kutaja series 10 bora duniani ukaziacha GoT na Breaking Bad... huo ndio ukweli wenyewe! Aidha orodha iandaliwe na watazamaji au wataalamu wa filamu... zote hizo utazikuta kwenye orodha yoyote ile, tena zikiwa juu juu!
Duh!! Lazima utakuwa na aleji na vitu vizuri wewe, sio bure!!Breaking Bad niliielewa na mpaka Leo naendelea kuingaliaa...!! Yani kuna GOT na Last ship nilishindwa kuendelea nazo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bran yupo yupo tuu sema ana storyline yake inaonekana itakua tamu Sana season 8Sir jaime lannister anaenda kukutana na bran. na ndiyo akiyemuangusha kule kwenye window
The Last ship??????????? hahhaa hauko serious mkuu.Breaking Bad niliielewa na mpaka Leo naendelea kuingaliaa...!! Yani kuna GOT na Last ship nilishindwa kuendelea nazo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli hayupo serious kwa last ship ila hiyo GOT sina comment mana sijaicheki na kila nikiikaribia nairuka
Katika majambaz nnaowakubali kwne series mmojawapo ni Gustavo Fring mmiliki wa Los Pollos Hermanos ndan ya breaking bad
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ana akili sana! Mie nilijikuta nampenda tu! Humble na strategic!Katika majambaz nnaowakubali kwne series mmojawapo ni Gustavo Fring mmiliki wa Los Pollos Hermanos ndan ya breaking bad
Sent using Jamii Forums mobile app