thanos
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,118
- 1,179
Ndo io ioTraveler ya wale madogo flan hv,, walihusishwa na mlipuko wa bomu kwenye jumba la makumbusho??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo io ioTraveler ya wale madogo flan hv,, walihusishwa na mlipuko wa bomu kwenye jumba la makumbusho??
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko vizuri sana hii sema waliicancel
Revolution ina husu mapinduz ya nan tenaIko vizuri sana hii sema waliicancel
Kuna nyingine inaitwa REVOLUTION iko s1&2
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan movie play box aipo?Ila bado natafuta SHAMELESS (US) Kuanzia series 4 mpaka 8, kama matu anayo a quote tuu, au DM tuongee
Ya kushushia torrents, mana zaidi ya hapo nina kaushamba kidogo
7 days in entebbe yupo adi nduli idd aminWakuu samahaani kwa kutoka nje ya content ya uzi,
Nahitaji movies zinazoelezea matukio ya nchi za afrika ya vita ya wenyewe kwa wenyew,waasi ama kugombania madaraka,mfano hotel rwanda,john mad dog sarafina n.k
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Na download vipi kwenye simu mkuu? App gani nzuri?Power E 08 imeisha vizuri
Mbona kama namuona gustavo fringHyo hapo mkuu,,, ni series moja ya ukweli sanaView attachment 847803
Sent using Jamii Forums mobile app

Bonge la seriesKuna series inaitwa House of Cards, kuna mtaalam Underwood humo, ana visanga hatari, japo inahusu politics ila ni noma sana
Traveler ya wale madogo flan hv,, walihusishwa na mlipuko wa bomu kwenye jumba la makumbusho??
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu hii si ndio imetoka mwaka huu