thanos
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,118
- 1,179
Me bado sija malizia aiseeee... hivi into the badlands bado awaja tangaza tarehe ya kuachia vipande vengineNitaitafuta niendelee nayo, kuna kipindi ilinzakuwa slow nikaipotezea, ila inaweza kuwa slow halafu, paaa, linaibuka dubwana huko vuruguuu.
Ukiangalia series kama hizo sana ikitokea apocalypse unaweza kuwa umejifunza survival skills.
